Shikamooni wachina (ni haoo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shikamooni wachina (ni haoo)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Arushaone, Aug 2, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kwa mapenzi yangu na kwa ajili ya watz wenzangu wote natoa ahsante kwa mchina kwa kurahisisha maisha ya waafrika. Kama ni saa, simu, vyombo, bodaboda nk tusingeweza kumudu gharama zake kama zingetoka usa/japan/uk/etc. Ahsante kwa mchina once again...
   
 2. S

  Starn JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  WAchina hawamsaidii mwafrika bali wanazidi kumuharibia kwasababu ya kutuletea vitu visivyokuwa na ubora. ni bora waje wamarekani ambao watatuuzia vitu kwa ghalama kubwa lakini vitakuwa na ubora mzuri.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Simu ya kichina inachajiwa siku nzima hiyo sio simu. Ukiisondosha tu imekula kwako...
   
 4. P

  Percival JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Huyo Mmarekani mwenyewe hana lake sasa nategeme mchina kwa bidhaa hata makampuni yao yanatengenezesha vitu vyao China na kukuuzia wewe hapa kwa bei ghali. Mchina ni mkombozi kweli
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sisis tumeshindwa wenyewe! Kama sio kuua viwanda vyetu sasa hivi vyote vinavyoletwa na mchina tungekuwa tunatengenea. Pamoja na yote mchina yuko juu mno! Waafrika tunapenda vitu rahisi mchina huyo huyo anauza simu europe, marekani na quality yake iko juu! HONGERA MSHINWAA KWA KUWAJALI WATZ!
   
 6. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  bila mchina vitu vngemilikiwa na wachache!! unadhani vtu original hakuna!!? but mtu anaenda dukani anaacha original anachukua mchina!! chezea mchina weye!! kwa mmarekan unapata simu moja lakini kwa mchina unapata simu mbili tena double line!!!
   
 7. S

  Starn JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtabaki hivyohivyo na mawazo finyu
   
 8. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Yangu macho kama kweli au la! :ranger:
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante kwakuliona hilo we mwenyewe shahid mtu akitajiwa kitu kwa bei ya juu anaanza jiliza wee tena yupo radh asinunue kile chenye quality atasema bana hauna ya bei rahis alaaa kwanin usipewe mitolomondo mi naona sawa china hawana hiyana wanakupa utakacho mtu etii anasema mi sitaki simu lain moja hiz original utamsikia aaakaa nataka ile yenye mziki mkubwa nataka mchina mimi chezeiya genuine weyee na badoo
   
 10. c

  chief72 JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wanshao hao,
  umesahau makalio ya kichina au hujasikia
   
 11. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mh yangu majicho
   
 12. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake wa kwetu hapa wangeupata wapi urembo kama si mchina? chupi za kichna,sidiria, mikoba,lipstik, hips,kope za bandia,wigs, viatu, mkorogo, mchina kwa ulimwengu huu huwezi kumuepuka hata kwa sikumoja ya maisha yako.
   
 13. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Tungeweza kutengeneza hata sindano tu tungekuwa mbali sana
   
 14. NORTHERN ROCK

  NORTHERN ROCK Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Just imagine unavyoona pikipiki zilivyojaa eneo unaloishi ndivyo hivyohivyo nchi nzima na bara lote la Afrika. Kumbuka ajira driver na urahisi kwa abiria. Ahsante mchina.
   
 15. NORTHERN ROCK

  NORTHERN ROCK Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Just imagine unavyoona pikipiki zilivyojaa eneo unaloishi ndivyo hivyohivyo nchi nzima na bara lote la Afrika. Kumbuka ajira kwa driver na urahisi wa bei kwa abiria. Kweli ahsante mchina.
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kungizwa mjini kwa Kichina (lafudhi ya Kipemba) = WanKwi Xha Hao
   
Loading...