Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Najua kilichokusukuma kumsaidia mwanamke wako kazi ni kupewa papuchi "frequently".....HONGERA Sana mkuu wanaume kama wewe ni wachache. Kuna research moja niliona mahali inasema wanaume wanao saidia wake zao na shughuli za ndani huwa wanapata "sex"zaidi ya wasio saidia kabisa.
Kuna raha fulani hivi pale wewe na mwenzio mnaposaidiana.
[emoji87] [emoji86] [emoji85] oooops me!