Shikamoon Wanawake

Ndio maana wakiamua kufanya Ujasiri,

Ujasiri wao ni wa hali ya juu kiasi kwamba wewe wa jinsia ya upande wa pili, hufikishi hata theluthi yake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] anakusaidia bila kujua kwa mfano vile vichefu chefu vinapogeukia kwake
Hahhahahhhaha
Unajua kuna ukweli hapo .
Mara hataki kula kichefu chefu.
Mara anatema mate kupita kiasi.
Utasikia anasema I have morning sickness today babe. 😀

Kasheshe.
 
Honestly mimi nasaidiana Sana na mwenzawangu kila kitu kasoro kubeba mimba. Kila kilichobakia 50/50.

Mimi huwa namsaidia kufua nguo na wakati mwingine kuosha vyombo na kufanya usafi wa mazingira ya nyumba....lakini kwa hakika wanawake wanateseka sana....Nina hakika kama miaka 200 hivi ijayo watu watakaokuwepo wakati huo watakuwa wanashangaa namna kizazi hiki cha kwetu kilivyowatesa wanawake....
 
Umewaamkia bure[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
kulima??
Ufugaji??
Kuteka maji??
Hiyo kuosha vyombo na kupika kazi za housegirl
----Hizi sifa za wanawake wa mkoani
 
HONGERA Sana mkuu wanaume kama wewe ni wachache. Kuna research moja niliona mahali inasema wanaume wanao saidia wake zao na shughuli za ndani huwa wanapata "sex"zaidi ya wasio saidia kabisa.

Kuna raha fulani hivi pale wewe na mwenzio mnaposaidiana.
 
Mwanamke afanye shuguli zake kulingana na nafasi yake kijamii na kibailojia na mwanamume naye vivyo hivyo.

Let Nature take it place.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…