Huyo naye ni bwegeNi kweli kbs, sema jamaa nae kaenda masomoni kakaa kule mwaka mzima karejea nyumbani kakuta mkewe (ndoani mwaka wa nane huu) ana mimba kuuuuuubwa ina miezi saba sasa- alichokifanya kaenda na mkewe kupima afya zao kakuta wako poa tu basi anakuzia kuzia kilichopandwa wakati yy hayupo. Utapasuka kichwa mambo haya
Kama kazi yako nikunipashia viporo ndio chakula cha jioni huku nyumba chafu na unyumba ndio hivyo unautoa huku ukinung'unika tena round moja tu na mazungumzo yetu kazi yako kunibishia tuu sasa mimi nifanyaje!!?Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa kwenda kibaruani.
Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.
Hako ka paragraph ka pili mi ndo kamenichanganya![]()

Usijali General Mangi zamu yako itafikaWewe si unapenda kuhangaika na wahuni.
Unamkataa Mchaga niliyeshiba kabisa?
Kweli wanawake wa uswazi hamfugiki,
Pambana na wahuni wako

Hakuna jambo utakalofanya kwenye uso wa hii dunia ambalo ni jipya na la kumuogofya Mungu.hahahah maudhi mengine wengine yatupite kushoto kwakweli! maana nitakachofanya Mungu mwenyew ataogopa
Mvumilie kidogo tutajirekebisha..Mnaudhi
kila mtu hamwelewi mwenzakeAsante mkuu hii avatar yako ni mwisho
unjitahidi upo vizuri... ndiyo maana ghorofa unalijengaAmetoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa kwenda kibaruani.
Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.