Kwenye mahusiano yangu ya mwisho, niliweka dhamiri ya kuwa mwaminifu 100%
Kiufupi naomba niseme tu duh, kazi ni ngumu aisee... Especially pale tulipokuwa tukigombana... Najiona empty.
Nilikuwa skeptical... Na sasa nimekubali asili.
Tafadhalini naomba mnikaribishe tena kundini.









Kweli nimeaminiHahaha unaweza kuiba.vyako vitaibwa!
Bado hutujui wewe,,,Labda mlikutana baa.
Mume aliyekamilika huilinda ndoa kwa kila hali, anayerudi usiku wa manane bila sababu ni mlevi mbwa