Labda mlikutana baa.Mnaudhi
Hahahahaha umenichekesha sana.*Hakuna kazi ngumu Kama kumtoa mwanamke kwenye kochi kumpeleka kitandani wanaume mnaijua hili, ukijaribu utasikia tu "niache Mimi..sikuja kwa ajiri ya mambo hayo"sa ulikuja kuchaji simu Au??*♂
♂
![]()
Pole rafikiMnaudhi
Hamna loloteMwanamke mmoja hawezi kata hamu ya rijali
Nakwambia ukweli mungu hakumuumba mwanaume hivyoHamna lolote
Tokeni hapa. Mnaendekeza tu. Sema niliamini wanaume wote mnacheat baada ya kugundua ex bf wangu alikua na mwanamke mwingine. Nilikua namuona mpole hawez enda nje ila mweee. Nyie kaka zetu nyieNakwambia ukweli mungu hakumuumba mwanaume hivyo
A man is polygamist in nature
Na wewe mpikie chapati za nazi...na mchicha uliochanganywa n.a. karotiAmetoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa kwenda kibaruani.
Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.
Ukitaka ufaidi mapenzi tupe ruksa umjue mwenzioTokeni hapa. Mnaendekeza tu. Sema niliamini wanaume wote mnacheat baada ya kugundua ex bf wangu alikua na mwanamke mwingine. Nilikua namuona mpole hawez enda nje ila mweee. Nyie kaka zetu nyie
Hata hayanogi labda uwe mwizi ndo vinanoga kumpikia bwana wa mtu chapati za nazi.Ukitaka ufaidi mapenzi tupe ruksa umjue mwenzio
Yananogaje
Hahaha unaweza kuiba.vyako vitaibwa!Hata hayanogi labda uwe mwizi ndo vinanoga kumpikia bwana wa mtu chapati za nazi.