Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

Sumatra watueleze hayo mahela wanayochukua kwenye malori ya mizigo wanayapeleka wapi?wao wakomae na vyombo vya abiria na majini,malori wawaachie "tanroads"kwani lori likioverload tanroad wanazaa na wewe.
 
hajari = ajali
 
Kuripuliwa=kulipuliwa
Inapendeza kusoma masahihisho ambayo hayajakosewa pia
 
You have written something good,the same idea i had too! Let them increas their followup to make sure that no accifent occurs
 
Ni ngumu kumaliza ajali, kuanzia saa 1 usiku gari zinakimbia kupita kiasi.
Mkuu watu wa Sumatra wanafanya kazi masaa 24 hivyo kukimbia usiku kwa sasa ni ngumu na Mimi nilijua hivyo
Ila huo mtambo unatuma taarifa kila Mara na wao wanazifanyia kazi kesho yake kwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani
 
Mkuu watu wa Sumatra wanafanya kazi masaa 24 hivyo kukimbia usiku kwa sasa ni ngumu na Mimi nilijua hivyo
Ila huo mtambo unatuma taarifa kila Mara na wao wanazifanyia kazi kesho yake kwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani
Tumeadvance hivyo? basi hakuna haja ya kuwa na trafic
 
faiza fox wanakurithi kazi yako huku
 
Ulikaa seat na mrembo nini halafu ukang'oa. Unapongeza safari ya km 1000 kulala wenzio muda unakuwa Mali sana na ajali zipo sababu nyingi ambazo wewe na Sumatra mnajitoa fahamu.
Kukaa seat na mrembo
Rahaa sana hadi kuja kucha [emoji8] [emoji8]
 
Tunarudishwa kuleeee!!
 
Watanzania bhana.
Issue siyo speed tu. Kuna issue ya used tires zinazokuwa recycled once again.
TBS kulala usingizi mzito.

Kulala Morogoro ni hatari sn kwa wanafunzi wa sec na wanachuo wasio jielewa. Na hata baadhi ya ndoa za weza ingia shakani.

Kulala njiani ni kuongezeana gharama zisizo na tija.

Solution hapo ni magari kuwa na madereva wawili kama AKAMBA/SCANDINAVIA walivyo kuwa wakifanya kwa route zao toka Tz to Kenya.
Pia POLISI watumike muda wa usiku. Kenya mabus husafiri usiku-iweje Tz tushindwe?

Iwapo unashabikia hilo jambo ni bora SUMATRA watoe Order kampuni za YOUTONG, AIRBUS, SCANIA, nk watengeneze mabus ya Tz yasiyo zidi speed 80 au 100. Make wamilikihuingia gharama kwa kulipia gari la speed kubwa na Engine kubwa ili hali hazina kazi Tz.
 
Mkuu maneno kuntu hayo
Kiukweli nilikuwa sijapanga kulala njian na sikujua
Gharama zimeongezeka
Na ni kuongezeana ukimwi tu!
 
Kuripuliwa=kulipuliwa
Usikarike mkuu,muosha huoshwa![emoji1]
 
Kuripuliwa-kulipuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…