Ajari = ajaliSalm wana wa JF
Kumbe Tz Sumatra Mnaweza kuzuia ajari na watu tukatembea kwa amani pasipo kuskia hajari
Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa Magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujari vibao vyote vya barabaran japo tumelala Morogoto
Wanabodi mnalionaje ili
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili
Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...

Kumekuwepo na nidhamu sana kwa maderevaSasa hapo umepongeza nini
Peleka huo ualimu wako kwenye forum ya lughaAjari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili
Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
Salm wana wa JF
Kumbe Tz Sumatra Mnaweza kuzuia ajari na watu tukatembea kwa amani pasipo kuskia hajari
Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa Magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujari vibao vyote vya barabaran japo tumelala Morogoto
Wanabodi mnalionaje ili
Urekebishaji wa namna hii naupenda sana maana hauna lugha ya kejeli kama ya bibi wa jf. Ubrlarikiwe mkuuAjari = ajali