Shikamoo PESA

Mungu wangu!inawezekana akawa amepewa masharti huyu
 
huyu mwenzake ana makusudi sana hata kumwambia mwenzake usivue viatu hapo.
 
Huyo aliye vaa kipedo lazima anatoka kigoma kwa akina zitto
 
Bora huyu kathubutu wengine wanashindwa hata kukaribia hayo mamilango na kulaza kibubuni fedha zao.
 
Jjamani hii kitu hata mimi nishaiona kwa macho yangu benki ya nmb. Nilicheka sana
 
Alafu mbona anaonekana ni brazameni inakuwaje tena?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…