domolachewa DLC
Member
- Jun 30, 2023
- 5
- 3
Ujikute we kwenu ndo last born hyo shkamoo utaitoa mpaka ukome mpaka kwa mashemeji af watoto wadogo tu
Salamu imekaa kimtego sana kwa watu wazima aisee.Mtoto wa miaka kumi akikusalimia 'habari yako'' au akasema 'hello'ni sahihi?
Mimi naona kama ni dharau
Mimi niiko 27Acha ufataki
Mbona unafia kwenye koridobas niamkie mimi nakuzaa huku napiga deki
Me nimeacha kitambo sana kuamkia watu zaidi ya Wazee wangu Kijijini tuItanibidi nifanye hivyo pia maana huku town michoro
Ahaha..Kwan kabla haya nje ya "inji" si alikua anafahamiana na hawa watu ndio mana hata amerud bado kawagundua?Sawa
Kuna watu zina wachoresha hawazipendiKusalimia inaonekana kama inawapa watu shida sana.
Mimi awe mdogo ama mkubwa akitaka shikamoo nampa kwa sababu hainipunguzii wala kuniondolea chochote.
Kwenye jamii ama kabila letu, mkubwa anaweza kuanza kumsalimia mdogo ama baba akamsalimia mtoto ama mama akamsalimia mtoto na ila anaanza na salamu ya kuitikia, mfano, shikamoo inatolewa na mdogo, mkubwa anaitikia marahabaa, sasa kikwetu mkubwa anaweza kuanza na marahabaa wewe ukamalizia shikamoo.
So sisi hatuna ulazima nani aanze, ila salamu lazima ipo.
Mtu kumpa shikamoo inakuuma nini? Polepole alisema, mpe shikamoo hata 9 kwa siku anaezitaka.