Vipi tena? Mmea mchicha[emoji15] [emoji15]
Vipi tena? Mmea mchicha
Unayo mbegu yake? NaombaNdumu
Ohoo nice. Matembele yanaongeza damu mwiliniHapana tembele
Mshana nini jamaniiii? Sijakuuliza wewe banaaa![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nataka nifate huko huko ulipo.Nakutumia kwa DHL nipe physical address yako