Shikamoo mapenzi, wengi wanasema nimelogwa

Muhudumu mupe mr mgeni [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481].
Kazi unayo kiongozi. Kama unampenda fresh ila chunga sana na ujipange kule wana wa 3.
 
Karma is one bad bi.tch
Ujumbe uwaendee wale wote wanaowapa tabu single mamaz kusema kuwa hawatawaoa, never say never in life
 
Za muda huu wana JF,

Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifahamu hilo.

Cha ajabu ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofauti tofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.

NAOMBA USHAURI
Huyo hakufai,tafuta mwenye watoto 5 wote baba tofauti
 
Za muda huu wana JF,

Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifahamu hilo.

Cha ajabu ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofauti tofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.

NAOMBA USHAURI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma saana
 
Back
Top Bottom