Shikamoo mapenzi, wengi wanasema nimelogwa

Shikamoo mapenzi, wengi wanasema nimelogwa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti superglue dunia INA mambo ila si ndo upendo wenyewe
Yaan utadhan mna kamtego kwny papuch atakaenasa ananasa kwel vip ww mkuu huna kasupagruu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee sasa ushauri wakat umeshaoa mkuu kweli?? Hata ivo kuoa nikuoa tu.

Mfungulie bar mambo yanaende....
 
Za muda huu wana JF,

Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifahamu hilo.

Cha ajabu ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofauti tofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.

NAOMBA USHAURI
Kuna vitu Mungu anaruhusu vitokee kwa nia ya kutupa funzo. Tulia upate funzo mkuu...
 
Yaan utadhan mna kamtego kwny papuch atakaenasa ananasa kwel vip ww mkuu huna kasupagruu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaa ukiona umenasa sasa ujue huyo ndo wako aliyepangwa chakushangaza hata wanaume wahuni nao hunaswa na huwa hawafurukuti kabisa, Mimi hata sijui ka supa gluu maana
 
Umefanya vema kumuoa umpendaye, kuhusu bar jitahidi kuzingatia positive and negative impact ikuongoze
 
Nimefurahi sana mnajifanyaga kuponda masingle mother humu ushauri wa nn unaotaka mtu ameshakuwa mkeo mfungulie hiyo bar muingize pesa
 
Mfungulie bar aje atafunwe na wengine na azae wa nne akusingizie na mtaji afilisi asepe kwao.
 
Nimefurahi sana mnajifanyaga kuponda masingle mother humu ushauri wa nn unaotaka mtu ameshakuwa mkeo mfungulie hiyo bar muingize pesa
JF si pakuamini na kufata shauri za kuponda huku wote hawaoi single mom, wanachepuka na michepuko mingi ila in real sense wamekabwa na wake zao, wengi huponda single mom kujitaftia kiki na ili kupata comments nyingi basi
 
ila umejua kuchekesha watu..lkn nauhakika hii story ni ya kutunga
 
Kwahiyo masingle mom wanaolewa na watu nje ya jf eenh
JF si pakuamini na kufata shauri za kuponda huku wote hawaoi single mom, wanachepuka na michepuko mingi ila in real sense wamekabwa na wake zao, wengi huponda single mom kujitaftia kiki na ili kupata comments nyingi basi
 
Nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Msitukane mamba kabla hamjavuka mto
 
Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Za muda huu wana JF,

Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifahamu hilo.

Cha ajabu ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofauti tofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.

NAOMBA USHAURI
Fukin christ man realy? Aisee tena anakwambia umfungulie bar na ww unamchekea tu? I know unampenda, but nataka uwe makini man, make shure unamfaham vizur, and mali zako weka under jina lako, hata kama utampa gari weka under jina lako.
 
Back
Top Bottom