Iyo barabara niliipita wiki iliyopita asee ni tatizo kuna mashimo utafikiri mahandaki
Makufuli ni msafi hana kashfa!
Kwa hiyo zile nyumba walizopeana ni kashfa yako..??
Kwa hiyo wale samaki na meli tuliyolipishwa ilikuwa kashafa yako..??
Kwa hiyo kulipishwa na vituo vya mafuta pale mlimani city na Mwanza ilikuwa kashfa yako..??