Shakala
Member
- Sep 30, 2024
- 26
- 30
Kwa miaka mingi wagombea kadhaa wamekua wakiahidi kuijenga barabara ya hombolo kwa kiwango cha lami lakini mpaka leo hakuna hata kipande cha 1om kilichoonesha hata dalili ya kuanza.
Ahadi tangu enzi za sagafu,madeje,malole mpaka huyu mavunde wote ahadi tu ilhali Hombolo ina kila sababu ya kuwekwa lami;ina kituo cha afya,chuo cha serikali za mitaa,viwanda vya wine,kilimo cha zabibu,bwawa la samaki na wakazi wa kutosha lakini usafiri wetu na watu wa mashambani huko hautofautiani kwa sababu tu barabara ni mbovu.
Mpaka inafika wakati zinasikika za chini chini kwamba wamiliki wa mabasi wa barabara hii (urafiki na super baraka)wanatoa fedha kwa wenye mamlaka ili waendelee kua hapa.gari zimechoka mno ndani vumbi na uchafu kama wote ikifika msimu wa mvua tunapanda na miamvuli,yanavuja kama nyumba za nyasi