dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,833
- 3,750
Nimeisikiliza ni nzuri ila idea yake ni kama ule wimbo wa Roho saba Nakupenda Hiphop.
daaaaaah upo deep sana kiongozi,
Nimeisikiliza ni nzuri ila idea yake ni kama ule wimbo wa Roho saba Nakupenda Hiphop.
hiyo version ya tongwe ipo online??Believe me nimesikiliza version zote mbili, japo hii version ya Tongwe aliyomshirikisha Jay Moe nimesikiliza nusu lakini ina snare fresh zaidi ya hii version ya Bongo Recz.