Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu???
Niliuliza wakati fulani hapa JF, hata Mpango anashindwa kuliponya Taifa?
Watu wengine wote wanaweza wakaisaliti nchi na nikaona huyu unaweza kufanya hivyo, lakini ikitokea mfano:
1. Dr. Mpango, lazima ujiulize hata huyu?
2. Humphrey Polepole
3. Hussein Mwinyi
4. Mzee Warioba
5. Mzee Butiku
6. Lissu
7. Heche
8. Mwakubusi
9. Kafulila: yaani mpaka kesho nashangaa na nasikitika kuona mwenyendo wake.
10. Padri KITIMA
Shikamo Polepole umeandika maneno mazito, ya busara na ukweli.
Amelogwa.9. Kafulila: yaani mpaka kesho nashangaa na nasikitika kuona mwenyendo wake.
Hakika Shkamoo Polepole.
Tena sana ongera PolepoleNi lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu???
Niliuliza wakati fulani hapa JF, hata Mpango anashindwa kuliponya Taifa?
Watu wengine wote wanaweza wakaisaliti nchi na nikaona huyu unaweza kufanya hivyo, lakini ikitokea mfano:
1. Dr. Mpango, lazima ujiulize hata huyu?
2. Humphrey Polepole
3. Hussein Mwinyi
4. Mzee Warioba
5. Mzee Butiku
6. Lissu
7. Heche
8. Mwakubusi
9. Kafulila: yaani mpaka kesho nashangaa na nasikitika kuona mwenyendo wake.
10. Padri KITIMA
Shikamo Polepole umeandika maneno mazito, ya busara na ukweli.
VIJANA Wa Hovyo Toka Kijani Watalia SasaSafi sana nchi inahitaji viongozi wazalendo
KabisaVIJANA Wa Hovyo Toka Kijani Watalia Sasa
Kwa kweli kafulila atakuwa Kalogwa. Daah, yaani mpaka kesho nasikitika sanaAmelogwa.
Huyu Mzee ni motoni moja Kwa mojaMsoga lazima aambiwe historia itamuhukumu kwa madhila yote ya Tanganyika kutawaliwa tena na wageni Kwa kushirikisha kina chifu Mangungo wa kileo.
Namshauri ahamia Australia na anajua kwa nini.
Si angejiuzuru wakati Lissu alivyopigwa risasi. Mbona kachelewa.