Shika Adabu Yako!


K

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,645
Likes
1,487
Points
280
K

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,645 1,487 280
Nimeongozana na dadangu badala ya kusubiri nikutambulishe unajitia uchizi na kumuita shemeji....shika adabu yako!

Ni kweli dadangu kajaaliwa kunyerokunyero (a.k.a chura) lkn isiwe sababu ya kupiga miruzi na kunipongeza kuwa ninafaidi.

Ndugu zanguni siyo kila jinsia 2 zinapo tembea pamoja barabarani ni wapenzi, kuna akina dada, mashangazi, wafanyakazi wenzetu, mashemeji zetu, n.k

Wewe mwenye tabia hii shika adabu yako.
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,913
Likes
24,206
Points
280
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,913 24,206 280
labda hujawah kutambulisha dada hata siku moja........
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,148
Likes
9,974
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,148 9,974 280
Mwenye dada hakosi shemeji.
Mwenye shangazi hakosi mjomba.
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,892
Likes
39,629
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,892 39,629 280
Mwenye Dada hakosi shemeji mwenye ngoma hakai chini
 
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,750
Likes
1,083
Points
280
Age
24
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,750 1,083 280
Naww mtu mzima unaongozana na dada yako kavaa tight nyepesi mzigo wote unatingishika....mnaenda wapi?!
...anaenda kula mzigo....
☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺
 
SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
4,073
Likes
1,601
Points
280
SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
4,073 1,601 280
Sasa kama anamla dada yako ataacha kukuita shemeji?
 

Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941