Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Hakuna lolote anataka magazeti yake kwa story story zionekane true story...
 
Hii riwaya itakuwa sokoni punde, wasambazaji jiandaeni, tunakaribisha wauzaji wa jumla na rejareja

Wewe unaboya kweli kweli umeli (quote) riwaya lote Kwa mistari miwili? Wacha Hess bhana
 
well said, this guy somehow had no humanity ... i guess hatosahau na amejifunza
 
Eti nitaendelea kuwa Mwanachama mwaminiifu wa CCM. Kama ulishaitangaza CCM imekataa kulipa madeni yako leo utakuwaje loyal to the party.
Mimi naona hapa something fishing is going on wewe umelipwa kiasi sasa hutaki hao wanaokudai wajue kitu.
Mr Shigongo look before you leap.
 
Ngosha umeingia kichwa kichwa hizo kampuni zenu mnaanzishaga kwa malengo ya kuibia taasisi au serikari ngosha mwenzio kakutuliza hapo hamna kitu mambo ongea na mabenki uuze Mali zako kabla dini alijaongezeka marehemu komba angekuwa hai angekupa stori za hao mabosi wako wa sisiemu walimpa sound za matumaini mwisho wake hatunae we jipe moyo eti ntalipwa wakati wafanyakazi wa hicho chama chako wanapiga miyayo maofisini hawana furaha chama kimedorora pole kwa matumaini
 
Jifunze kuandika kwa kifupi, Magu kabana.
 
ila nimependa alivyomaliza kuwa tupaze sauti zetu tuache unafiki na kujipendekeza haijalishi una chama au hauna upo ccm au upinzani kwenye ubaya tuseme hongera kwa kauli hii ya kutia moyo
 
Ndio maana nimemshari wakishamuuzia Asseti zake atulie asitujazie Saver kwa Povu
 
Erick Shigongo [HASHTAG]#kunywamajimwanangu[/HASHTAG] bado umeendelea kudanganywa CCM hawana pesa kwa sasa endelea kusubiri huko nyumba zikipigwa mnada
 
Jamaa kweli ni mwandishi yani habari kaipamba mpaka imekua hadithi ya kusisimua angemalizia basi na kibwagizo 'kunywa maji mwanangu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…