Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

AYA ZAKO ZA MWISHO ZIMEJAA UCHOCHEZI, UNATAKA VIJANA WAPAZIE WAPI SAUTI? WAKATI BABA HAJARIBIWI? UNATAKA HAKI GANI VIJANA WAISEMEE WAKATI HATA ILE YA MSINGI YA KUPATA ELIMU IMEJAA MIZENGWE NA WENGI WAMEBAKI NYUMBANI KWA KUKOSA ADA YA KUSOMEA! WEWE UMEKUWA JASIRI KWA KUWA UNADAI CHAKO, TENA CHAKO BINAFSI. KAMA UNABISHA HEBU ANDIKA ARTICLE NYINGINE YA MADAI YA HAKI ZA VIJANA ILI UITWE NA SG, HAHAHAHAAAAAA. KADA MWENZANGU WE PIGA KIMYA TU USITAFUTE KUJISAFISHA MKIA KARIBIA UKATIKE.
 
Mkuki kwa nguruwe, ...... Unasema wamekuzushia uongo kumbe wewe magazeti yako yanayoandikaga uongo na kudhalilisha watu huwa huoni eeeh?

Any way ngoja wasubiri wakulipe
 
Kweli CCM ni hatari,nilijua kalipwa kumbe kapigwa sound nyingine?
Shikamoo Kinana. Ccm haina 10.
huyu anatakiwa afukuzwe ccm kwani hajakielewa chama chake, hajaiva kwenye ukada huyu, haiwezekani kada liye iva alalamike pale chama kinapo tekeleza au kusimamia itikadi zake!, kudhulumu ni sunna kwa ccm!..................ninamhimiza arudi darasani lumumba.
 
Erick shigongo ni shabiki mkubwa wa lowasa,naona anakiri kwamba lowasa alielekea kushinda

pia inaonekana yuko chama cha mapinduzi kimaslahi tu,maslahi yake yakiyumba anaanza kukitukana kama alivyofanya juzi.

hawa ni aina ya watu wanaokizunguka chama cha mapinduzi,wanaokichuna,wafanyabiashara,wapiga dili,wanaovizia minofu kama fisi,[/QUOTE
Yaani huyu Shigongo ana harufu flani hivi hata ukisoma maandishi yake,ilikuwaje kuwaje yeye akapewa hiyo tenda? kulitolewa tangazo la tenda au alipigiwa simu na Kinana? Hapa bongo watu wanatajilika kiujanja ujanja sana,dili zikibuma wanaanza kutafuta huruma kwenye media na kulialia.
 
Wewe kweli ni Mr. Porojo.


Story ndeeeefu ambayo ungetujuza kwa mstari mmoja tu.

Doroooo, mpaka nasinzia.
Dear huyu jamaa anajifanyaga Mtu wa dini kumbe Mpiga Deal.
Yaano kofia anauza 50k ????
 
Story ya kipuuzi Ndefu kumbe hajalipwa furaha yake kajua viongozi wa chama wanamtambua na Matabasamu yao ndio yamemfurahisha sana hadi akakenua kinywa.... Chama hakina pesa utalipwa baada ya mnada wa mali zako... uje tena utuhadithie....

Hawa ndio wale ukiwauliza Samahani bro eti sasa hivi ni saa Ngapi? anaanza kukuambie oh hii sana mishale yake ni ya gold alafu niliinunua London duka ha Harrods ilibakia moja tu maana zilitengenezwa tata tu ni za ghalama sana moja alinunua Malkia ya pili Papa na ya tatu ndie Mimi hii saa inatumia Mercury hivi sasa ni saa nne na dakika Tatu... ishi yote hayo ya nini sasa... Jibu ni Moja tu muda gani huu.... na Pia Umelipwa au Haujalipwa? maana jamaa keshasahahu mnada upo mbele yake....
 
Story ya kipuuzi Ndefu kumbe hajalipwa furaha yake kajua viongozi wa chama wanamtambua na Matabasamu yao ndio yamemfurahisha sana hadi akakenua kinywa.... Chama hakina pesa utalipwa baada ya mnada wa mali zako... uje tena utuhadithie....

Hawa ndio wale ukiwauliza Samahani bro eti sasa hivi ni saa Ngapi? anaanza kukuambie oh hii sana mishale yake ni ya gold alafu niliinunua London duka ha Harrods ilibakia moja tu maana zilitengenezwa tata tu ni za ghalama sana moja alinunua Malkia ya pili Papa na ya tatu ndie Mimi hii saa inatumia Mercury hivi sasa ni saa nne na dakika Tatu... ishi yote hayo ya nini sasa... Jibu ni Moja tu muda gani huu.... na Pia Umelipwa au Haujalipwa? maana jamaa keshasahahu mnada upo mbele yake....
Msukuma ni Msukuma tu hata iweje!
 
vp jamani mnada bado? kwa hiyo kelele zote zile dola elfu kumi? benk wanakudai shs ngapi? tuiishe harambee
 
mi nlijua umelipwa kumbe umeambulia sound tupu, sasa subiri benki waje nawe uwapige sound, na mbaya zaidi unashauri watu wapige kelele kudai haki zao, waaapi baba! kwa karne hii unaweza ukapiga mayowe hadi mate yakauke, ukaishia kudundwa virungu na kutenguliwa nyonga
 
Du ndefu saana ikiwa na maneno mengi yasiyo na umuhimu kwenye habari. Any way jamaa ni mtunzi wa hadithi na ndiyo approach yake siku zote katika vitu vyote anavyoandika.
 
Siku nyingine eric usituletee umbea humu ndani,umbea na unafiki wako ishia huko huko lumumba,kwani wakati unapata tenda ya kuwaibia watanzania na maccm yako ulitutangazia humu?ulivyokuwa unawalaghai watanzania kwa khanga na kofia ulimfaidisha nani humu jf?tena ukome kabisa jitu zima hovyo.
 
Kwisha habari yake Mashairi yote nilidhani karudi na check kumbe SOUND anajisifia kuwa Mwana Ccm kumbe haijui ..hiyo ccm yenyewe Tangu tupate Uhuru wanasema Nchi imeendelea lkn watoto wanakaa chini....sasa yeye asherehekea kupozwa kwa Maneno sijui Bank nao watatulizwa kwa Maneno ya Lumumba? Ukishauziwa Dhamana zako usije kujiliza tena humu!


 
Nilikigundua hapo
Shule ni muhimu sana
Umejichanganya sana katika maelezo yako
Kwanza
Kama ulikuwa na mkataba halali
Kwa nini usiende mahakamani kudai haki yako?
Na deni lako lina uhusiano vp na ccm kuwepo au kutokuwepo madarakani?
Kama deni lako ni halali kuna sababu gani ya kuweka madai yako huku mitandaoni?
Nadhani umepanic au hauna washauri wazuri
Any way ukweli unaujua mwenyewe na Mungu wako
Ila kwa mtizamo wangu
Kwenye hilo deal
Kuna maswali mengi kuliko majibu
Tatizo letu sisi waswahili
Tunachanganya siasa na biashara
Kwa kifupi tu
I
 
Kunawatu wameumizwa Sana na habari za kejeli na kudhalilisha zinazoandikwa kwenye gazeti la jamaa,hata mzee Lowassa hakuangaliwa utu uzima wake...leo mtuhuyo anajipambanua kafundishwa heshima/kuheshimu wazee?!? Labda kafundishwa kuheshimu wenyekumpatia hela!!. Nkiwaza haya natamani mtu apokee kichapo asote namaisha kidogo
 
Back
Top Bottom