maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,345
Komba aliimba weee matokeo yake alipopatwa na zengwe aliokuwa akiwaimbia hawakusogea, shule zikaenda, makazi yakaenda na roho ikaenda, kishasahauliwa sembuse wewe mzee na udaku wako.Kichwa cha habari mi nilifikiri tayari keshalipwa.
Kijana pamoja na ngonjera zako hakuna hata single pen hutakayolipwa na hivi umeamua kumwaga mboga ndio kabisaaa.
Benki hazijui cha Lumumba wala msomali dhamana itabidi majembe azipige mnada,hukumbuki yaliyompata Capt J Komba we kalaga bao.