pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Nikajua umelipwa, kumbe wewe ni kama mtoto mdogo unaepewa ahadi na babae ya kununuliwa gari kumbe ni uongo! Wewe kumuona kinana tu mbio hadi huku kutangaza! We endelea kusubiri haja yako hadi uchaguzi upite 2025.