Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Sina hakika sasa baada ya kutulizwa hivyo, uongozi wa Lumumba utaenda na bank kuwatuliza wasiuze vitu vyako? Something I have learnt from brother Erick, UWAZI; umekua muwazi. Sometimes ukikaa kimya ndio hivyo watu wanakudhurumu.
Kuna mjing.a 1 wa kule kanda ya kati alitamkaga mjengoni kwamba Mbowe kafirisika eti kashindwa kulipa deni, sijui nae ameyasoma majibu ya SG!? Kwamba chama kwasasa "Kimefirisika"
 
Shigongo Erick,
Kweli wewe ni mwandishi wa riwaya uliyebobea. Ulivyotiririka inaonyesha tukio moja baada ya jingine kama vile mtu ana watch the movie!
But Shigongo, I have a word with you guy. Kijana kama wewe umechagua njia ya upotevu. Umechagua njia ya Kaini njia ya maangamizi. Sina hakika kama huyo Kinana,Luhwavi,Meghji na Khatibu wana nia ya dhati ya kulipa deni lako!

Juzi tumeskia Bungeni kuhongwa kwa Wabunge wa CCM 270 Bilioni ili wapitisje Muswada haramu wa Media, kwanini hukuwauliza hiyo hela walipata wapi na kwanini ya kukulipa wewe hakuna?This raises some eyebrows!

Mwisho, siyo nakutia hofu. CCM ni sawa na genge la Mafia huko Visiwa vya Sicily,Italia. Hawa jamaa zako inawezekana wamekupa delaying tacts wakijipanga kukushughulikia! Jiulize watu kama kina Kolimba wako wapi leo hii? Wapi kina Sokoine,Kombe, Mgimwa n.k. They've have gone simply kwa vile walisema vitu vya kuumiza chama au vitu kinyume na mtazamo wa CCM!

Zingatia ushauri wangu. Just be calm and alert all the time!!!!
 
This is garbage. Napendaga watu wenye mawazo ya moja kwa moja. Nimepata shida sana kuelewa hasa kwa nini ameandika waraka huu mrefu... kama ameamua kuja hadharani kudai madeni yake kwa chama chake, kwa nini amejaribu kurudiarudia maneno kama vile kuna watu wamefanya vibaya kuandika story yake kwenye mitandao? Kama hakupenda ijulikane, he should have kept his mouth shut, and follow up with his CCM counterparts..Unalipuka kwenye public, kisha unakuja kufanya damage control? BS..
 
Wana jf naomba kujuzwa mtu kama akichukua/take risk si kwamba upo tayali kupata au kukosa? Sasa iweje anapiga kelele na mashairi marefu yaliyo jaa mbwembwe? Tulia na uamini kuwa hitopata hizo fedha, zingekuwepo hata watumishi wangepewa nyongeza au kupanda vyeo!!! Kalakabaho.
 
"Yule kijana katuchafua sana sana sana na hatutamlipa kamwe" in chairman's voice
 
sasa uendelee kuchafua watu kama kawaida yako , koz personal umechafua wengi na still watu tukakuonea huruma kama ukarimu wa kila mtanzania, stay positive , usiharibu watu kama wewe ulivyoogopa kufa na presha
Kwa kweli nami nilitaka sema hivyo hivyo. Anajifanya mtu wa Mungu huku hajali maumivu ya watu wengine kisa tu yeye apate Pesa. Tena umepewa funzo kubwa sana acha kabisa kuchafua wenzako! I am not sure kama magazeti yake ya udaku kama bado yapo. Muhimu ni Badilika!
 
Mbona wakati wa hili deal hukuweka mitandaoni leo umening'inizwa unalialia mitandaoni....Huna lolote kila mtafuta janga hula Na nduguze...

Sent from mTalk
 
Mambo haya anayaweza Mbowe tu,ikiingia tu ruzuku anakata milioni 400 za kuuza Fuso chakavu,ikiingia tena anakata milioni 100 za vipaza sauti,ikija ya mwisho wa mwaka anakata milioni 60 za consultancy hakuna kupeleka madai wala kuomba vikao.
 
Reactions: MC7
Sawa boss,
Hivi baada ya mazungumzo na Kinana wale wote waliotaka kupiga mnada mali zako wameaihirisha au vipi?
 
Ila wana ccm ni waongo jamani!Mwaka jana dola ilikuwa 1700???
 
Mbwembwe nying utafikir amelipwa. TOKA ZAKO NA CCM YAKO
 
Fala Huyu stori yake haina jipya akanye alale
 
Nimependa ulivosema "tupaze sauti" vijana wenzio tunaojielewa na kuelewa ccm tulianza kupaza sauti tangu 1995 kwa kupambana na ccm inayotufanya tuwe nchi ya dunia ya tatu, tulipaza sauti kutaka katika mpya tunapaza sauti sasa kuondoa serikali kandamizi ya kuminya demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na "hata vyako pia" tunakusaidia kwa hili pia, tunapaza sauti kudai bunge live na sio tu dsm live, tunapaza sauti kudai mikutano ya kisiasa iliyopo kikatiba. Hakika sauti tunapaza lkn serikali ya chama chako sijui itatusikia? Hakika, ukiona kijana wa aina yko anaipenda ccm basi kama ni msomi lazma ananufaika na lumumba la sivyo basi ni mjinga hana elimu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…