Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

La 7B ndo tatzo letu huwa tunaendelea kibiashara na kielimu chetu kiduchu ila the moment tukigusa tu siasa [emoji23][emoji23][emoji23] kifo cha mende chali
 
Tatizo anaandika sana mpaka point ya msingi inapotea. Aliyeelewa plisi atubrifie sie wengine wavivu kusoma riwaya.
 
wewe wamekusikiliza sbb una influence pia una magazeti wakijua watakuhitaji one day yes,wengine ambao hawana pa kusemea watafanyaje,Shigongo wakati unaipigania CCM kuingia madarakani kuna kitu ulikihitaji hata kama sio leo basi kuna kitu ulilenga,hii tabia si nzuri,kama ukiamua kufanya kitu fanya kwa moyo mmoja,wenzio walipokuwa wakiisema serikali wewe kupitia magazeti yako uliwabeza sana kumbe msemo usemao usocheke wakunga uzazi ungalipo una maana,tusipende kuwa wanafiki ,we ungeendelea kukaa kimya na kutumia magazeti ingetosha ina maana gani hadi kuja public,hapo bdo uelewe wanaotumia peoples power wanamaanisha,msipende kubeza na kusanifu ,malipo yapo hapa hapa duniani,najua pesa zako utalipwa ila ujifunze kitu,na masuala ya kumshirikisha Yesu ktk inshu za kinafiki kama hizi si nzuri hili jina kwa sisi wakristo ni kubwa sana na haliendani na unafiki,bado mkuu ana nafasi nahc za ubunge amekusikia na anaweza fanya kitu si ubunge tu kuna nafasi nyingi,ila unafiki uuache,tumekusamehe ila uombe MOLA naye akusamehe ili hii dhambi isiende hadi kwa watoto na wajukuu wako,ipo siku naamini utaisfia CCM wala c mbali ngoja tusubiri
 
Mbona na yenyewe imekaa kama miongoni mwa riwaya zake? Any way kama watamlipa pesa zake kila la kheri.
Nimesoma na Nilichoelewa ni Blahblah za Kada wa CCM anayeipaka Fisiemu mafuta kwa mgongo wa chupa ili kubembeleza zabuni za future anazopewa bila bid. Anatakiwa kwenda kwa Eyakuze wa Twaweza ili amfundishe jindi ya kuuzia CCM vitu vya kufikirika sio kofia. By the way Fisiemu walishamlipa Twaweza?
 
Usimnukuu Martin Luther King Jr, Maana hata Mkojo wake ungekuwa na thamani zaidi yako. Mnafiki Kama wewe ni mkweli? Unawezaje Kuita chama kinachofanya Kampeni za Matusi na Takataka, Chama Kinachopora ushindi clear (Zanzibar) kuwa ati ni chama Makini?
 
Hii story ni ndefu wakati anajua kabisa waafrica ni wavivu wa kusoma dah! Jamaa alivyo andika siamini kama yeye kaipitia kuisoma
 

Uzuri keshasema hivi ndivyo alivyomalizana nao, ikimaanisha hakuna kulipwa tena hapo. Kwa bajeti ipi? Ameamua kujililiwaza kwa kuifanya riwaya ili watu waendelee kununua gazeti ndi maana ndefuuuuuu
 
Uh, vyeo, uuzaji na ununuzi ...vyanzo vikuu vya sintofahamu baada ya uchaguzi
 
We jamaaa siku ingine jaribu kuandika kwa ufupisho pls tuna kaz zingine tafadhali
 
Kwa hiyo ile bank inayomdai inabidi isubiri mpaka atakapolipwa.

Haya ni maajabu na yanatokea Tanzania tu. Namshauri akatunge riwaya nyingine, hii haikufaulu kunishawishi.
 
Kumbe hajalipwa..?hii riwaya nilijua itaisha kwa kutuambia kapewa mpunga wake.
 
Ukimya nao ni jibu maana unaweza kusema halafu hawatekelezi au ukaonekana wewe hauko upande huo ikaw ni nogwa tena
 
Kwani nani unaemjua yupo huko kizalendo, wote ni wapiga dili tu
 
Ya mle lumumba hakuyaandika yote...hasa pale yule mama alivyo ingia..
 
Kwa nini asiende mahakamani kudai chake kama ni madai halali? Au anatafuta gia ya kuhama chama?

Ataenda vipi mahakamani na ushahidi tangible hana?!! Huyu ni miongoni mwa watu ambao huwa wanajipendekeza chamani kipindi cha uchaguzi wakitarajia neema fulani baada ya uchaguzi. Sasa zama zimebadilika ndiyo maana unaona analalamika sasa hivi. Hatukusikia tenda yoyote iliyotangazwa na CCM ya kusambaza hivyo vifaa inaonekana walipeana kienyeji tu. Yule mwingine aliyejitolea TV yake kuonyesha mubashara mikutano ya kampeni ya kile chama naye yupo chali anapumulia mashine. Nchi hii mali yako ni bora umkopeshe Mungu atakulipa ukifika Akhera.
 
Kweli Shigongo usingesema ingekula kwako. Sasa ili unyamaze kabisa utapewa ubunge wa Buchosa, umeridhika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…