ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Hahaaa.. Mi mwenyewe nimeishia hapohapo..nimeishia kusoma pale alipokuwa anaelezea thamani ya dola! aliyemaliza kusoma hadi mwisho ani brief
Hahaaa.. Mi mwenyewe nimeishia hapohapo..nimeishia kusoma pale alipokuwa anaelezea thamani ya dola! aliyemaliza kusoma hadi mwisho ani brief
Ila ni mwanaCCM mwenzako mwaminifu, nilitegemea ungemsupport
Ugumba huathiri medulla mpaka maamuziOf course ana support yangu 100%.
Ninachosema mimi ni porojo ndeeeeeefu angeelezea kwa muhtasari right to the point. Ingetosha.
Kwenye ukabila me simo...🙂Msukuma ni Msukuma tu hata iweje!
Usiyachukulie haya mambo siriazi. Ukiona ukabila unatajwa mara nyingi ni katika muktadha wa utani tu au matambiko kama alivyosema Nyerere kwa utani vile vile. By the way hata mimi ni Msukuma mkuu na tunataniwa sana kuwa tuko washamba. Hapa nilikuwa "namcheka" brother Shigongo kuwa kapigwa na chama changu cha kijani!Kwenye ukabila me simo...🙂
Nilichogundua haka kajamaa ni kajanja kajanja na hapo kanajifanya kuisifia Ccm kakidhani ndiyo njia ya kusaidia kulipwa haraka..Kwisha habari yake Mashairi yote nilidhani karudi na check kumbe SOUND anajisifia kuwa Mwana Ccm kumbe haijui ..hiyo ccm yenyewe Tangu tupate Uhuru wanasema Nchi imeendelea lkn watoto wanakaa chini....sasa yeye asherehekea kupozwa kwa Maneno sijui Bank nao watatulizwa kwa Maneno ya Lumumba? Ukishauziwa Dhamana zako usije kujiliza tena humu!

Kabisa Mgoyojr kabisa.well said, this guy somehow had no humanity ... i guess hatosahau na amejifunza