Shigongo: Baada tu Hayati Kupumzika Wamepandisha Bei ya Umeme, Unit 2400

Hata mwinyi, mkapa na kikwete waliweza kujenga taasisi imara pia....
Hao uliowataja walitengeneza mifumo gani imara? Labda useme walianzisha baadhi ya mifumo kwenye taasisi ila kamwe haikufanywa kua imara.

Huyo mtu suitable unayemsema ni hadi awe Rais ndo umuone ni suitable je kama hajapata nafasi ya kuwa rais utajuaje usuitable wake? Kwahiyo baada ya mtu wako suitable kufa na akakosekana suitable mwingine unadhani nini kitatokea?.
 
Nchi hii wanasiasa shirika la tanesco limekuwa shamba la bibi..hivi hata huruma na wananchi hakuna? Basi hata hofu ya Mungu? Au wanahisi wataishi milele? Madaraka na yote yanayoambata nayo yatapita na wamepita wengi dunia hii..viongozi tendeni haki.
 
Sasa kama anajua Mama ni moto wa kuotea mbali, kwanini aseme wamepandisha baada ya hayati kutangulia mbele?
Tatizo lake alikuwa sukumagang na alibebwa kwenye kura no wonder bado anaweweseka.

Hawa watu wanashindwa kuelewa kwamba mama ndio Mwenyekiti wa CCM na ndio atakuwa responsible kupigisha majina na anaweza kutumia utaratibu aliouacha mwendazake, hii maana yake wanaomdharau na kumbeza wajiandae kuliwa vichwa.

Kama wanataka arithi mambo ya mwendazake wasije kumlaumu atakapohamia kukata majina na kutumia ule utaratibu wa 2020, mwenzao anawachora tu anajua wabunge atawakomeshea wapi.

Waendelee tu kumdharau
 
Hao uliowataja walitengeneza mifumo gani imara?.labda useme walianzisha baadhi ya mifumo kwenye taasisi ila kamwe haikufanywa kua imara.Huyo mtu suitable unayemsema ni hadi awe rais ndo umuone ni suitable je kama hajapata nafasi ya kua rais utajuaje usuitable wake?.Kwahiyo baada ya mtu wako suitable kufa na akakosekana suitable mwingine unadhani nini kitatokea?.
Swali la kwanza tu inaonesha haujanielewa. Lakini sawa

By the way, hapana sio lazima awe raisi ili tumuone how suitable he is, apparently tunao wengi tuu wako'suitable' kuongoza nchi hii ambao waliokua around the late suitable. Hahah

Of course it could be a disaster kukosa another suitable after the loss na hii moja kwa moja inatokana na ile Kaliba Yetu ( watanzania ) the way vile tulivyo.

i.e sio watu wa mifumo sisi, tanzania imekosa aina hio ya binadamu.
Siku njema kaka
 
Kuna wapumbavu hawaoni makosa ya Marehemu hapa ya kuendesha nchi Kwa kumuogopa mtu mmoja badala ya kujenga taasisi imara.
Chuki zako za kipumbavu dhidi ya Magufuli hazitusaidii lolote, endelea na stress zako bashwee, bado Magufuli atabaki kuwa shujaa wa nchii hii, hata mufanyeje ni kazi bure kamwe mizoga cartel hamtamfikia kwa uthubutu na maendeleo aliyoyafanya mwendazake katika muda mfupa.
 
Back
Top Bottom