Shigongo: Baada tu Hayati Kupumzika Wamepandisha Bei ya Umeme, Unit 2400

Hao PowerGen ni kina nani (wamepewa tender wasambaze umeme na Tanesco au)? Contract ilikuwa inasemaje? Na kwanini Tanesco wasiwafikie watumie hawa watu?

Hapa bila kupata habari kamili tutakuwa tunatoa hukumu za Kangaroo Court....
 
Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakiri. acha kuwaadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden,norway,
Nani amekwambia kuwa US ina watu wachache?
Nchi yenye watu takribani milioni 332 unasema ina watu wachache?
 
Wadhaifu.

Hawawezi pigania Tanzania bila kumtaja hayati. Kama watoto yatima yaani na wimbo wa baba yangu angekuwepo nisingeuza mwili wangu.
 
Kuna mambo hayataki siasa maana ukweli huwa una sifa moja kuu yani kuchelewa ila unafika tu
 
nacgao wanaosema aliyekuwa akiwasumbua hayupo ndio waliokuwa hawampendi
 
Mwambie aache upumbavu, yeye alalamike kwa bei kupanda sio kusema eti baada ya Magufuli kufa.

Anaweza jibiwa akamfufue basi Ili ashitaki
 
Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen..
Kwa nini hawakulalamika wakati bei ya sukari ilipopanda kutoka 1,500/= hadi 3,000/ mara baada ya Magufuli kuingia madarakani? Na bei haijashuka hadi leo!
 
LCoE ya umeme kutoka kwenye kampuni hizo ni kiasi gani!? Tukijua hilo, itatuwia raihisi sana kujua kama hiyo bei ya 2400 ni halali ama la!!
Kwanini kabla waliweza na sasa wasiweze, kama wangekuwa wanapata hasara ya sh 2300 kwa unit wangekuwa wamefunga biashara siku nyingi, hakuna namna huo ni upigaji.
 
Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen..
Hoja ya hovyo, eti baada ya HAYATI kupumzika. Huwezi kujenga hoja bila kumtaja JPM.
 
Hayo maneno umemezesha na wajasiasiasa na vibaraka wa mabereru eti " jenga mfumo imara" ikiongee neno mfumo imara unaonekana ni unaakiri. acha kuwaadaa wasio na elimu mfumo imara ni nchi tajiri na zenye watu wachache kama US, UK, Sweden,norway,
Kama huelewi si ukajielimishe uelewe au wewe bado una akili za kimanamba manamba kwamba huwezi kutengeneza mifumo inayojiendesha bila kumtegemea mtu.
 
Back
Top Bottom