Lissu hanaga hawara wa dhehebu lako but kama umemlenga, malizia mfungo na kisha ufunge na zile sita kwa dhambi hii ya kumwita mtetezi wa raalimali zetu msaliti huku ukiwaacha walio na uelewa mdogo kuliko chief mangungo wakiendelea kuishi kwa kodi zetu! Akili za makinikia mkubwa we!Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Alikuahidi kukuoa akakutupa nini??Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Ukiwa na swaum hutakiwi kusema uongo wala unafiki..au leo hujafunga uko kwenye Hedhi.Tundu Lissu hana jipya ni opportunist wa kisiasa.
Anarukia kila anachokiona kutafuta "dili".
Halaumiki sana kwa kuwa chama chake hakina sera wala mwelekeo, kila mmoja kivyake.
Sasa hivi chadema kila mmoja anavizia wapi adandie labda kuna dili.
Hizo za kudandia na kupiga dili zilikuwa karata za kina Zitto, wamewahi sasa zimepitwa na wakati.
Amechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Kwa uelewa wako Lissu ana watetea wanzungu?Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
kikongwe wetu uliyepotea jamvini kitambo kidogo hatimaye umefufukia huku kwa shigongo! Nilijua tu, ni lazima umuunge mkono mjeruhiwa mwenzako baada ya kupigwa chini na hao mabedui wenzako (ccm)!Tundu Lissu hana jipya ni opportunist wa kisiasa.
Anarukia kila anachokiona kutafuta "dili".
Halaumiki sana kwa kuwa chama chake hakina sera wala mwelekeo, kila mmoja kivyake.
Sasa hivi chadema kila mmoja anavizia wapi adandie labda kuna dili.
Hizo za kudandia na kupiga dili zilikuwa karata za kina Zitto, wamewahi sasa zimepitwa na wakati.
Amechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Ukweli wa hazini ya madini tuliyonayo ni tofauti na yaliyotajwa na prof mrumaUnajidanganya
Wacheni mpewe ukweli
Lissu ni kipimo kizuri cha ujinga ulio nao hasa km humwelewi..!Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Umemsahau mzee wa visent,afu Lissi wa hata hakusign kitu hapa asa anaanzia wapi kua msalitiLissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Lisu amekuwa MUNGU MTU?Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Tena kama dizaini yako hata msiseme lbd kaswida hapo sawa wapi kajiripua.Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Mwambie Eric atulie, anywe maji.Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174
Shogongo[emoji86] acha kujifanya hamnazo.Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174
Acha kujifanya na wewe hamnazo[emoji84] kama makada wezi vibaka wa Ccm.Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti