maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,536
- 1,360
Kama Lissu ni taka basi wewe utakuwa shimo LA kutupiamo[emoji85]HIVI TAKATAKA KAMA TUNDU ANAWEZA KUPINGA REPORT ILIYOANDIKWA NA PROF. MRUMA NA PROF. OSORO????
Umesemajee we mama[emoji15] [emoji86]PROFESSOR IS AN INTERNATIONAL TITLE HOW ABOUT FOOLISH ONE WHO KNOWN ONLY AT IKUNGI DISTRICT? TAKE CARE
Wewe pia huna tofauti na huyu Shigo mlilia posho na hajalipwa mpaka leoShigongo anajielewa huwa hatoi matamko hovyo hovyo Kama lisu
Huwa sio rahisi kwa mtu anaetegemea akili ya mtu kumwelewa mtu anayejitegemea.Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Anachosema Lissu sio mnachotuaminishaYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Prof. Alikuja na Gulfstream, hawa kina mruma na osoro ni maporofesa wa kuwafelisha mabinti wanaogoma kuvua chupi!!!PROFESSOR IS AN INTERNATIONAL TITLE HOW ABOUT FOOLISH ONE WHO KNOWN ONLY AT IKUNGI DISTRICT? TAKE CARE
Kwanza ccm kimeshamlipa !!?? Maana usikute anatafuta kuonwa na mwenyekiti ili akumbukwe kulipwa .Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Shigongo aendelee tu kuandika udaku tu haya mengine hatayaelewaShigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Shigongo kalipwa pesa ya T-shirt za kijani?Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Hivi neno Mzalendo kwa Tanzania ni yupi?Shigongo anajielewa sana. Huyo Lissu hana uzalendo hata chembe. Kabaki kumshangilia Lowassa tu!
Sio kunyimwa ubunge tu, bali pia kazurumiwa mahela ya T-shirts na hao hao wazee wa agwanda ya kijani.Huyu Shigongo si ni yule wa CCM alienyimwa UBUNGE pale jimboni BUCHOSA??!!!Kama ni yeye mwambieni atuache kidogo
kipi walichosahihisha?Mimi nina wasiwasi na URAIA wake. Haiwezekani mtu anakuwa ni wa kupinga na kuwatetea wezi kila siku. Kati ya watu wa AJABU huyu bwana ni wa AJABU kabisa.
Hata kama CCM walisaini mikataba mibovu, lakini sasa wameghairi makosa yao na wameamua kuyasahihisha tena kwa vitendo.
Lakini nashindwa kujua kama kwenye chama chake kuna watu wenye BUSARA. Kama wapo, kwa nini wanashindwa kumkanya?
Hawa ndio wanaweza kukabidhiwa nchi? La hasha. Hawawezi hata kidogo. Kwao uzalendo ni O.
Ninaamini saa ikifika atakuja kujutia maneno yake ya kuwatetea wezi wa rasilimali zetu.
Kwa mawazo yakoHuwa sio rahisi kwa mtu anaetegemea akili ya mtu kumwelewa mtu anayejitegemea.
Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174