albinomweusi
Member
- Jul 10, 2014
- 44
- 0
wadau vip...eti shift in charge inahusika na nn na malipo yake yanakuaje.tusaidiane kwa mwenye ufahamu kwa hili
Jamaa amejibu vizuri hapo juu hizo ni kazi zao kuhusu salary wana scale zao kama umeitwa kwenye interview waambie according to their scale wako vizuri kwa sasa engineer ndo wanapewa priority sana kuajiriwa kwenye hiyo post hata kama kwenye baadhi ya matangazo wanasema any proffession but engineers a most considered for now
1.2m hiyo ndo basic yao plus other package posho ambayo ni kwa siku ambazo utafanya kazi
wadau vip...eti shift in charge inahusika na nn na malipo yake yanakuaje.tusaidiane kwa mwenye ufahamu kwa hili