Shida ya wanaume humu ni hii

Nilikuambia kudanga siyo kazi ukaachana na mume wako kisa kudanga
Unasura mbaya kama tako lako gumu kama mawe ya mtoni.
Halafu nikadange wapi humu yangenikuta yafuatayo.
1. Nuksi
2.Stress
3.umaskini kama tu gesti inawashinda ndio ukadange huku hamuwezi guest ya elfu 30 kwa siku ndio usiku mmoja kwanja ni mrefu utajiwe ili ufe ndio uweze kwa siku siutakufa acha dhambi uende mbinguni lea hao watoto wako wanaoenda international yenye magari yasiyo na breki.
Woiii usiku wanalala fofo bila yakula kisa walikuwa wanahofu hawatafika home peleka mtoto ISM au Braeburn ambaye mtoto agurantee ya maisha yake bima ya afya .
Pambana na hali yako
 
Una experience kubwa Sana 🤣🤣🤣🙌🙌
 
nilijua tushakua watu wazima wazee mambo ya drama yameisha,kumbe mnafukuziana aiseee...lol
Na bado sijachoka kukufukuzia, ila iwe ya kiutu uzima bwana. Mambo ya kukashifiana sio poa...[emoji1787] waiting for your response Rebecca..hahaha!
 
Kumbe tunakulana sana humu? Hatari hii...
 
Sijaelewa kabisa, umeandika kwa hasira na kuopanic, what went wrong?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…