Shida ya wanaume humu ni hii

Siwaamini wanawake ndgu, nitadunda kwa jinsi anavotaka beat liende.

Kwako hiyo ilikua ni bahati tu, wengi wao hawapendi ukweli.
Kwa wanawake ambao huna malengo nao hawa ukiwadanganya hakuna shida maana lengo ni kupata mbususu lakini kwa mwanamke ambaye unampenda na una malengo ya muda mrefu nae na yeye yupo very committed na wewe nakushauri ndugu yangu ni vizuri ukamwambia ukweli
 
Balaa gani tena wanaleta humu
Oooh unajua yule Dem nlimpa pesa sana badae nkasema ni muda wa kula mbususu.... Nkamwambia aje Serena Hotel...... Nkapiga show ya kibabe..... Na Ile mbususu yake inabana kinoma basi mtoto akaomba mechi irudiwe...... Kinyume chake ni kua hua anampa dem buku ya vocha tu na wanatumia gest ya buku tano.... Akipiga tako 2 machine imelala.... Alaf wakija humu wanageuza maneno

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
fanya mapema maana hizi network znaweza kufanya makusudi. siku ya tangazo bandle linaisha[emoji23][emoji23] ili tu nije nikutane na tangazo lina siku tatu niteseke
Siku ya eid il fitri basi ntaweka bonge ya tangazo hapa... Wa kwanza kucomment ndo mshindi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Maliza nae PM. Kama umetapeliwa mbususu, shitaki kwa Mods
 
🤣🤣🤣🤣 Dah kwa hiyo sie vibamia tako 2 wazungu hao. Asante wacha tupambane na hali yetu
 
Ushakopwa nn?[emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuambia kudanga siyo kazi ukaachana na mume wako kisa kudanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…