Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,501
- 46,547
Hizo sifa za kua mwanaume inabidi awe real na sio fake ni zako au ni sheria??Hili suala la kujifanya una hela nyingi binafsi silipendi Bora ukubali uhalisia wako kuliko kudanganya mwanaume anatakiwa awe really sio fake bidada kwenye Hili nakuunga mkono
Sio mimi ila nikuulize swali; ukikuta K inatema au ni mtera utapiga bao tano?Nani huyo katudhalilisha.
kushindwa shoo ni kosa la jinai
Eti magamba ya nyangumi nyie kuna watu mnamatusi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wewe unaunga tu mkono as long as comment ni ya mwanamke, au hii ndo mbinu inayotumika kujitafutia asali?Hili suala la kujifanya una hela nyingi binafsi silipendi Bora ukubali uhalisia wako kuliko kudanganya mwanaume anatakiwa awe really sio fake bidada kwenye Hili nakuunga mkono
Mimi binafsi nina kipato Cha kawaida nina mahusiano na mwanamke ambaye ni mzuri ile mbaya wakati aliomba niishi nae nilikuwa very honestly nikamwambia uhalisia wa maisha yangu na hadi sasa hiv tuna zaidi ya mwaka ninaishi nae sio kila mwanamke anapenda awe na mtu anayefake maisha me nachoona uhalisia wako Unaweza ukafanya demu akupende au upigwe chini lakini ukiwa muwazi inasaidia kujua mapenzi aliyonayo huyo mtu wako kwakoHizo sifa za kua mwanaume inabidi awe real na sio fake ni zako au ni sheria??
Wanawake wanapenda anaefake na sio mkweli, ukiwa mkweli unaliwa kichwa.
Apo kwanza ncheke[emoji38]We dada hebu kuwa na kifua bas, mambo ya DM yabaki DM, hizo avatar ni picha tu na wala hazitafsiri tabia ya mhusika.
Siwaamini wanawake ndgu, nitadunda kwa jinsi anavotaka beat liende.Mimi binafsi nina kipato Cha kawaida nina mahusiano na mwanamke ambaye ni mzuri ile mbaya wakati aliomba niishi nae nilikuwa very honestly nikamwambia uhalisia wa maisha yangu na hadi sasa hiv tuna zaidi ya mwaka ninaishi nae sio kila mwanamke anapenda awe na mtu anayefake maisha me nachoona uhalisia wako Unaweza ukafanya demu akupende au upigwe chini lakini ukiwa muwazi inasaidia kujua mapenzi aliyonayo huyo mtu wako kwako
Mechi tena mkuu?! [emoji134]Naomba Mechi..!!
Amekopwa dyudyu huyuKunywa maji yakutosha utakua sawa
Mzee baba sisemi hivyo kama unachowaza wewe ila kipo ndani ya maisha yangu ndio maana nimesema hivyo mimi nina kipato Cha kawaida demu aliniomba niishi nae binafsi nikawa honest Sana kwake nikamuweleza uhalisia wa maisha pamoja na yote demu akaniambia usiwe na wasiwasi kwakuwa nakupenda na mimi nina kazi yangu nitaishi na wewe no matter what tangu siku hiyo tuna zaidi ya mwaka kwenye mahusiano yetu na ni mwanamke mzuri Sana akipita hiv lazima ugeuke so nakataa kwamba wanawake wote wanapenda wawe wanaongopewa inategemea na nani unakutana nae kuna wengine hawapendi uwe muongoWewe unaunga tu mkono as long as comment ni ya mwanamke, au hii ndo mbinu inayotumika kujitafutia asali?
Duh...sasa sie vibamia vyetu vimewakosea niniWanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ahsante sana mkuuHili suala la kujifanya una hela nyingi binafsi silipendi Bora ukubali uhalisia wako kuliko kudanganya mwanaume anatakiwa awe really sio fake bidada kwenye Hili nakuunga mkono
Mi pia naomba [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787]Eti magamba ya nyangumi nyie kuna watu mnamatusi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Shida ni kuwa wenye vibamia wanajisifu na kuleta balaa humuDuh...sasa sie vibamia vyetu vimewakosea nini