vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Watanzania , njoo tuongee kama ndugu wa toka nitoke.. kujeni tusemezane kama marafiki bila matusi.
Ni nini shida ya nchi yenu?
1. Ardhi kubwa yenye rutuba na mvua tele mnayo
2. Madini yametapakaa kote
3. Uzalendo umekita mizizi bongo, mnaipenda nchi yenu kweli kweli
4. Umoja wa makabila upo, wala haulazimishwi
5. Tanzania kuna amani na utulivu kote
6. Democrasia yenu haijawahi kutingika hata kamwe
Kwa nini msikuwe mbele ya mataifa yote ya Afrika?
Katika mambo haya sita ambayo nimetaja, Kenya haiwezi karibia Tanzania,
Tanzania inafaa kuwa na maendeleo mara dufu kulinganisha na Kenya.
Lakini wapi, tunashindana kama watu rika moja.
Kwa nini Watanzania?