RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
Wewe ni kifaa.Hawana sifa zote hizo na wameolewa na wanaume lakini si ndo hao wanaume wanaoishia kuchepuka? Maana yake nini? Maana yake wanaume wanataka wake zao wawe wakamilifu ndo wasichepuke si ndiyo?
Halafu kufaa kuoa au kuolewa na kuoa au kuolewa ni mambo mawili tofauti kuna wanawake hawafai kuolewa na wameolewa na kuna wanawake wanafaa kuolewa na hawajaolewa vile vile kuna wanaume hawafai kuoa na wameoa na kuna wanaume wanafaa kuoa na hawajaoa haya naomba nijibu swali langu kwenye hiyo aya ya kwanza