Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

  • Thread starter discount supermarket
  • Start date
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
453
Points
500
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
453 500
k.uma ya bibi ako,kafie mbele
na bibi yako si alikuwa nayo tena inasemekana kwa sababu ya laana mlizokuwa nazo alikuwa nayo usoni na wewe umerirhi hiyo...hahahaha
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,665
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,665 2,000
Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu?
Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best !

Unaolewa lini?
Tutaolewa siku na saa MUngu aliopanga
Kuna majira na nyakati za kila kitu chini ya jua.

Unasex na Nani?
Sex sio mandatory.hakuna madhara yoyote kiafya au kiakili kwa mtu asiefanya sex

Wanawake wenzangu tufocus kwenye mipango ya maisha yetu na furaha zetu.tusikate tamaa wala kuyumbishwa na maneno.wala usikubali kupoteza nguvu zako na malengo yako kwa kutembea na mume wa mtu.

Kesho nitakuwa kazini naombeni order zenu
Umesema vizuri.
La muhimu husikubali kufanyiwa maamuzi na mtu, acha watu wakushauri, lakini maamuzi fanya wewe mwenyewe.

Yote katika yote vaeni nguo. Mwanamke anaheshima tu pale ambapo amevaa nguo, ukisha mvulia mwanamume ngua ambaye si mume wako, basi huna tene heshima kwa uliyemvuli nguo
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
2,523
Points
2,000
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
2,523 2,000
Msiwe waoga wa kuwa single mother
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,315
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,315 2,000
Just because i made a comment sometime ago 'bout me having a main chick and side chicks, some girls I know stopped talking to me.

I'm having hard time explaining. It was all jf bants and rants!

One must be really careful in here...you never can tell what's really goin.. on eventually
 
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,809
Points
2,000
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,809 2,000
Mkuu masingle maza kumbe ni hatari sana kwa afya basi tena wala siwataki ila kuna mmoja nilikuwa nagonga si akaniganda nikampotezea mpk leo
Nitupie namba yake Pm nidili nao hao wazee,Hao wazee ndio wazuri wanajua kulea na maisha wanayajua vizuri
 
T

TruthLover

Senior Member
Joined
Jan 30, 2019
Messages
181
Points
250
T

TruthLover

Senior Member
Joined Jan 30, 2019
181 250
Una roho ngumu yaani unamshauri atafute mtu wa kuzini naye.
Ni vizuri kuzaa mapema ili ukiwa 50+ uwe umemaliza kusomesha hadi chuo kikuu,faida ya kuwa na watoto kwa sasa huwezi kuioana,baada ya miaka 10 mbele utaona umuhimu wa kuwa na watoto mapema.Kama umekosa mume,tafuta wa kuzaa naye.
 
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,107
Points
2,000
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,107 2,000
Duuh pole yake ila mimi nilishajiapiza kuliko kuwa na mwanaume mzinzi au mnyanyasaji ni bora niwe single maisha yangu yote

Kabisa lazima uwe na life uliyoichagua no matter what you deserve to be happy in this world
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,743
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,743 2,000
Ni kweli...bado mimi
Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc

Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
 
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
3,271
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
3,271 2,000
Joanah, unajuwa Kwa mwanamke ...
1. At the age of 20 to 25 kama hayupo shule na hakuna kinachomkeep busy, ataanza kuwaza kuolewa.... Lakini this age anakuwa na MAXIMUM namba ya vigezo... Awe wa blue, amiliki bombadia, awe na PhD, awe na nyumba etc
2. Unfortunately vigezo vipo inversely proportional na age.... Anavyozidi kukaribia 30, NDIVYO vigezo vinavyopungua..!!!
3. Akifika 30 and she is NOT SURE OF MR RIGHT, vigezo vinachange ... VINAANZA KUELEKEA KWENYE MTU WA KUZAA NAYE....
4. Kwenye MTU WA KUZAA NAYE, kigezo kikuu ni HOW HANDSOME THE MAN IS...
5. COME 33 huku bado Hana uhakika, THEN HAPO hakuna cha cigezo, ni yeyote atakayetokea... AWE MUME WA MTU, KIBENTEN etc

Wakati haya yakiyokea, HOFU KUU KWENU HUWA NI "MENOPOZI"
Hivi kwani wanaume hamnaga vigezo? Tena mbona nyie ndo mnwekaga vigezo vigumu kuliko hata vya kwetu?
 

Forum statistics

Threads 1,315,263
Members 505,171
Posts 31,851,760
Top