Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

Hawana sifa zote hizo na wameolewa na wanaume lakini si ndo hao wanaume wanaoishia kuchepuka? Maana yake nini? Maana yake wanaume wanataka wake zao wawe wakamilifu ndo wasichepuke si ndiyo?

Halafu kufaa kuoa au kuolewa na kuoa au kuolewa ni mambo mawili tofauti kuna wanawake hawafai kuolewa na wameolewa na kuna wanawake wanafaa kuolewa na hawajaolewa vile vile kuna wanaume hawafai kuoa na wameoa na kuna wanaume wanafaa kuoa na hawajaoa haya naomba nijibu swali langu kwenye hiyo aya ya kwanza
Wewe ni kifaa.
 
umenikumbusha dada yangu huwa anasema kuna wanawake kumi, watano wenye busara na watano wapu.mbavu Hawa watano wenye busara ndio wanatakiwa kuolewa ila shida ni pale mtu yupo kwenye kundi la wapu.mbavu bado anakomaa kuolewa. Ndoa hazitokaa ziwe salama mpaka pale hawa wapumba.vu watakapoamua kukaa pembeni kiroho safi
 
acha tu hata hao wapumbavu nao waolewe maana hata wanaume wanaooa nao kati yao huwa kuna wapumbavu pia kwahiyo nakuunga mkono ulivyosema kule kuwa Mungu huwa anabalance yaani mfano mwanaume akiwa na busara mwanamke anakuwa mpumbavu na mwanaume akiwa mpumbavu mwanamke anakuwa na busara ndoa nyingi ndo ziko hivyo aise daah
umenikumbusha dada yangu huwa anasema kuna wanawake kumi, watano wenye busara na watano wapu.mbavu Hawa watano wenye busara ndio wanatakiwa kuolewa ila shida ni pale mtu yupo kwenye kundi la wapu.mbavu bado anakomaa kuolewa. Ndoa hazitokaa ziwe salama mpaka pale hawa wapumba.vu watakapoamua kukaa pembeni kiroho safi
 
Hawana sifa zote hizo na wameolewa na wanaume lakini si ndo hao wanaume wanaoishia kuchepuka? Maana yake nini? Maana yake wanaume wanataka wake zao wawe wakamilifu ndo wasichepuke si ndiyo?

Halafu kufaa kuoa au kuolewa na kuoa au kuolewa ni mambo mawili tofauti kuna wanawake hawafai kuolewa na wameolewa na kuna wanawake wanafaa kuolewa na hawajaolewa vile vile kuna wanaume hawafai kuoa na wameoa na kuna wanaume wanafaa kuoa na hawajaoa haya naomba nijibu swali langu kwenye hiyo aya ya kwanza
An answer to what question?
Swali hilo kwenye aya yangu ya kwanza hapo juu
 
Hapana mbona hata tukisema tunahitaji wanaume wapole na waaminifu bado mnasema tutajioa wenyewe? Nilichogundua ni kwamba wanawake vigezo vyetu vingi ni vya kawaida na wanaume mna uwezo wa kuwa navyo vyote ila tu hamtaki kuwa navyo

Tofauti na ninyi mnataka mwanamke mmoja huyo huyo awe mzuri wa sura na umbo, mpole, muaminifu, mnyenyekevu, mvumilivu na mcha Mungu na akikosa sifa hata moja kati ya hizo mnasema hafai kuolewa

Na mnajipa moyo kwamba wenye sifa hizo zote wapo mtawapata tu sasa hadi hapo huyo mtu si tayari ni mkamilifu na ukizingatia ninyi hizo sifa nzuri hamtaki kuwa nazo sasa kwanini mnalazimisha mtu awe mkamilifu wakati hata Mungu anajua kuwa hajatuumba wakamilifu na ndo maana anatusamehe makosa

Ila ninyi wanaume mbona hamtaki kuelewa hilo kuhusu wanawake? Mbaya zaidi mnaona kama vile wanaume ndo mliumbwa kufanya makosa ila wanawake tuliumbwa kufanya mema tu hivi mko serious kabisa?
dah,hapa kweli huwa tunawaonea!
 
vigezo vigumu vya wanaume ni vipi
Mnataka mwanamke mmoja awe mzuri wa sura na umbo, mcha Mungu, mpole, muaminifu, mvumilivu na mnyenyekevu, mwenye akili ya maisha na anayeweza kuishi na watu vizuri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo? Hapo kwenye uzuri wa sura na umbo tutoe kwa mwanaume tuweke utajiri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo?
 
dah,hapa kweli huwa tunawaonea!
Mmhh kama kweli umekubali kutoka moyoni basi wewe ndo mwanaume wa kwanza kukubali ukweli uwii jamani maajabu Saint anne The iron batterfly njooni muone mwanaume wa kwanza kukubali ukweli tunaowaambiaga kila siku na nyie Extrovert Lizarazu mjifunze kukubali ukweli siyo kila kitu mnabisha hata pale ambapo mnajua kabisa kwamba wanawake ndo tuko sahihi acheni kutuonea jamani
 
Mnataka mwanamke mmoja awe mzuri wa sura na umbo, mcha Mungu, mpole, muaminifu, mvumilivu na mnyenyekevu, mwenye akili ya maisha na anayeweza kuishi na watu vizuri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo? Hapo kwenye uzuri wa sura na umbo tutoe kwa mwanaume tuweke utajiri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo?
kitu ambacho mimi nafahamu sisi huwa tunakuwa na sifa za lazima na sifa za ziada sasa sidhani kama sifa za ziada zinaweza zikamdisqualify mwanamke asiolewe!
 
Sasa hizo sifa za mwanamke nilizozitaja hapo ndo sifa za lazima kwa wanaume wengi na hata mkiwaoa hao wasio na sifa za ziada ndo mnaishia kuchepuka yaani kwa maana kwamba wanaume mnataka wanawake wawe wakamilifu ndo hamtachepuka
 
Back
Top Bottom