Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

Mnataka mwanamke mmoja awe mzuri wa sura na umbo, mcha Mungu, mpole, muaminifu, mvumilivu na mnyenyekevu, mwenye akili ya maisha na anayeweza kuishi na watu vizuri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo? Hapo kwenye uzuri wa sura na umbo tutoe kwa mwanaume tuweke utajiri je mwanaume mmoja anaweza kuwa na sifa zote hizo?
Kuwa tajiri mbona simple tu na ni mipango ya mtu tu na saving abilities.
Shida ni kwamba pia mnataka mwanaume mmoja awe mtafutaji, awe na muda na wewe, akutoe outing, akumbato vizuri hadi juu mawinguni, apige deki na kukuoshea vyombo,awe yaya wa watoto,awe tall na HB, awe fundi wa vitasa na mabomba nyumbani...the list goes on!

Wewe sifa zote tunazotaka utazihimili pia?
 
Mwanamke bila mwanaume hajakamilika nani anabisha humu? Mifano hii wala siendi mbali hapahapa bongo and surrounding country:

Mama yake Abdul aka dangote pamoja na uajuza alionao katafuta kidume sasa hivi anakula raha za dunia hadi kupendeza anapendeza ukimuangalia japo wapo wanasema hela za mwanae, Zari the boss lady hela anayo watoto anao lkn kila Leo akiachana na huyu kaenda kwa yule kama nyani anayetaka kufa anavyodandia miti kisa nn gegedo, muone jokate licha ya kuwa DC lkn hapati heshima anayostahili kwakuwa hana gegedo la kudumu linalotambulika.

Njoo kwa huyu mnyaturu sepenga, maisha yake hayaeleweki kwa sababu hana mume sasa hv ameanza kujikondesha ili kurudisha ule muonekano wake wa zamani ili ajaribu tena bahati yake maana alianza kuwa kibonge, mtazameni Sarah wa harmonize kile ni kiajuza lkn kwa sababu ya mgegedo kaona sio issues ngoja atulie kwa mmakonde wa tandahimba, haka ka lulu nako bado kako foolish age ngoja umri usogee muone katakavyohangaika, simumeona povu la Vanessa baada ya kupigwa chini na jux? anaumiza kichwa ni jinsi gani atapata gegedo la kudumu.

Shonza sijawahi muelewa lkn atakuwa na upungufu wa gegedo mwilini, muone mdee hajakamilika cos bila kidume ni shida tupu, hamumuoni matiko heshima anayoipata kwakuwa na teacher? Licha ya ufirauni alionao amber rutty huwezi kumfananisha na amber lulu au gigy money mwenzao ana ndoa
 
Just because i made a comment sometime ago 'bout me having a main chick and side chicks, some girls I know stopped talking to me.

I'm having hard time explaining. It was all jf bants and rants!

One must be really careful in here...you never can tell what's really goin.. on eventually
Very very careful
Especially with comments concerning women affairs,cause we read,we understand and we spot you hahahah
Women/chicks are very sensitive u know, very emotional
 
Very very careful
Especially with comments concerning women affairs,cause we read,we understand and we spot you hahahah
Women/chicks are very sensitive u know, very emotional
Hahaha mwambie huyo, ndio maana mabazazi werevu huwa hata hawakomenti sana kwenye nyuzi na MMU wanakwenda polepole kwa sababu wanajua wakiwa wanaongea sana wanawaza kujihatarishia mawindo
 
Hahaha mwambie huyo, ndio maana mabazazi werevu huwa hata hawakomenti sana kwenye nyuzi na MMU wanakwenda polepole kwa sababu wanajua wakiwa wanaongea sana wanawaza kujihatarishia mawindo
Hahah kabisa kuna mabazaz hayacomment yanapita kimya kimya hawatak kuhatarisha mawindo
Sema kuna hawa watoto wanakomaa especially nyuzi za kuponda wanawake wanazan sifa kumbe wanajiweka kwenye black book,laiti wangalijua hahahah
 
Mwenzangu bora kuwa single kabisaaa.................. nikiona hayo mateso ndugu yangu toka nitoke anayoyapata na huyo dubwasha alilofuga? Mungu amnusuru tuu ila nasikia juzi kamrushia mifuko yake ya shangazi kaja nje.. huenda ikawa salama kwake
Hahahahah amefuga dubwasha?kama naziona shangazi kaja zikirushwa nje teh teh teh
 
Hahaha mwambie huyo, ndio maana mabazazi werevu huwa hata hawakomenti sana kwenye nyuzi na MMU wanakwenda polepole kwa sababu wanajua wakiwa wanaongea sana wanawaza kujihatarishia mawindo
Nimejifunza mkuu.

Kituo kinachofuata nitaanza kukunyapia nyapia wewe.
 
Kuna demu nilipeleka mahari kwao wakakataa. Mpaka leo hajaolewa wala kuzalishwa halafu uwa anakuja ananiambia eti mie ndio nimemsababishia hivyo twende kanisa la kilokole tuombewe wote ili nifungue kifungo kilichopo rohoni kwangu. Sina ubaya wowote nae walinikataa kwao kwa kuwa nilikuwa nafanya kazi taasisi flani cheo cha chini na kwao wazazi walikuwa njema sana. Kwa sasa nimewazidi hata 5 times
Aolewe na kipato cha wazazi wake au na kipato chake!
Maamaae zao.
 
Hahah kabisa kuna mabazaz hayacomment yanapita kimya kimya hawatak kuhatarisha mawindo
Sema kuna hawa watoto wanakomaa especially nyuzi za kuponda wanawake wanazan sifa kumbe wanajiweka kwenye black book,laiti wangalijua hahahah
Nilikuwa napita tu kuona michango ya watu ila nilipoona umetukosea heshima ikanibidi nicomment tu.
Ndoa siyo gari la kusema kila mwanamke atapanda. Kwahiyo inabidi uwe mpole tu kwasababu anayeoa ni mwanaume na siyo mwanamke kwahiyo ukiwa na mwanaume haimaniishi atakuoa sababu anaangalia atakayemfaa.
Mimi najua nitaoa lini na wakati gani kwahiyo naweza oa sasa hivi, kesho, keshokutwa n.k (Hapa huwa nafurahi sana kuumbwa mwanaume). Wewe utaolewa lini? (Hapo ndipo utasikia majibu kama Mungu akipenda, kwani kuolewa ni lazima, wanaume wenyewe marioo, wanaume wenyewe wachepukaji n.k)
Ni udhaifu sana mwanaume kumuomba msamaha mwanamke hata kama amekufumania, ukiona umeelemewa sana unasema yaishe. Halafu kuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu wa akili atakusumbua sana, inatakiwa mwanaume uwe na backup pembeni kama mwanamke akiwa kwenye hedhi, mjamzito au akijifungua basi unakula nje, ukiona haeleweki unaoa mke wapili mpaka wa 3.
Nikikuona na wewe unachepuka, navunja ndoa naoa mwanamke mwingine. Kasome uzi wa Da sophy "Una cheti, nina mume" nyumba ndogo lazima kama utakuwa jeuri.
 
Nilikuwa napita tu kuona michango ya watu ila nilipoona umetukosea heshima ikanibidi nicomment tu.
Ndoa siyo gari la kusema kila mwanamke atapanda. Kwahiyo inabidi uwe mpole tu kwasababu anayeoa ni mwanaume na siyo mwanamke kwahiyo ukiwa na mwanaume haimaniishi atakuoa sababu anaangalia atakayemfaa.
Mimi najua nitaoa lini na wakati gani kwahiyo naweza oa sasa hivi, kesho, keshokutwa n.k (Hapa huwa nafurahi sana kuumbwa mwanaume). Wewe utaolewa lini? (Hapo ndipo utasikia majibu kama Mungu akipenda, kwani kuolewa ni lazima, wanaume wenyewe marioo, wanaume wenyewe wachepukaji n.k)
Ni udhaifu sana mwanaume kumuomba msamaha mwanamke hata kama amekufumania, ukiona umeelemewa sana unasema yaishe. Halafu kuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu wa akili atakusumbua sana, inatakiwa mwanaume uwe na backup pembeni kama mwanamke akiwa kwenye hedhi au mjamzito au akijifungua basi unakula nje, ukiona haeleweki unaoa mke wapili mpaka wa 3.
Nikikuona na wewe unachepuka, navunja ndoa naoa mwanamke mwingine. Kasome uzi wa Da sophy "Una cheti, nina mume" nyumba ndogo lazima kama utakuwa jeuri.
Haya mambo yatakwisha tu miaka si mingi kizazi hiki kikishapita tu basi haya mambo yatakwisha
 
Kwani kupigwa mashine kitu gani? Kuna vitu vya muhimu sana kwangu vya kufanya kuliko kupigwa mashine tena na mtu ambaye yupo kimaslahi tu anawaza kupiga na kusepa
Sasa wewe starehe yako ni ipi kama si kupigwa mashine??
 
Wakati wa mapambazuko huwa mnajifanya mi ndege joroe wajanja weee! ila majira ya jioni yanapowadia wapole kama nini na hapo kujifariji huwa kwingi.
 
Sasa wewe starehe yako ni ipi kama si kupigwa mashine??
Aise starehe yangu kubwa ni kusafiri sehemu mbalimbali duniani kwangu mimi ni bora nikatazame mandhari yanayovutia kuliko kuishi na mwanaume mzinzi na mnyanyasaji asiyejua thamani ya mwanamke
 
Aise starehe yangu kubwa ni kusafiri sehemu mbalimbali duniani kwangu mimi ni bora nikatazame mandhari yanayovutia kuliko kuishi na mwanaume mzinzi na mnyanyasaji asiyejua thamani ya mwanamke
Umeshatembelea nchi ngapi hadi sasa mkuu ?
 
Ni vizuri kuzaa mapema ili ukiwa 50+ uwe umemaliza kusomesha hadi chuo kikuu,faida ya kuwa na watoto kwa sasa huwezi kuioana,baada ya miaka 10 mbele utaona umuhimu wa kuwa na watoto mapema.Kama umekosa mume,tafuta wa kuzaa naye.
none sense
 
Back
Top Bottom