Wakuu habarini za leo,
Iko hivi nimetongoza vizuri tu dem akaniambia kwamba ana mpenzi wake. Mi nikajua ni defensive mechanism za wadada ili nimfukuzie kwa hivyo nikaendelea kumfatilia mwisho akakubali. Tangu kakubali huwa tunaonana usiku mara nyingi sababu kila mtu ana issue zake mchana, tukikutana nashika kiuno vizuri tu , kiss napiga na hata kama tusipokutana tunachat vizuri tu bila tatizo.
Tatizo limekuja nilivyoomba mbususu eti ndo anaanza kunikumbusha si nilikwambiaga nina mahusiano , kwenda lodge hataki na mimi siwezi kumvuta nimpeleke kwa lazima. Nikahisi labda ni lodge hajazoea nikamwambia aje geto na penyewe hataki eti anaogopa, sababu ni ile ile yuko kwenye mahusiano. Halafu hata hela haombagi ningesema labda yupo kunichuna tu. Wakuu nisaidieni na nyie shida nini labda
- Ni mimi ndo sijui kumshawishi akubali
- Hanipendi anacheza na akili yangu
- Sababu nyingine yoyote mnayohisi wakuu
Maana dem ni mkali na mda niliopoteza kumfatilia ni mwingi mno roho inaniuma kumpotezea bila kupewa mbususu