Shida ni mimi au labda sipendwi

Shida ni mimi au labda sipendwi

Wakuu habarini za leo,

Iko hivi nimetongoza vizuri tu dem akaniambia kwamba ana mpenzi wake. Mi nikajua ni defensive mechanism za wadada ili nimfukuzie kwa hivyo nikaendelea kumfatilia mwisho akakubali. Tangu kakubali huwa tunaonana usiku mara nyingi sababu kila mtu ana issue zake mchana, tukikutana nashika kiuno vizuri tu , kiss napiga na hata kama tusipokutana tunachat vizuri tu bila tatizo.

Tatizo limekuja nilivyoomba mbususu eti ndo anaanza kunikumbusha si nilikwambiaga nina mahusiano , kwenda lodge hataki na mimi siwezi kumvuta nimpeleke kwa lazima. Nikahisi labda ni lodge hajazoea nikamwambia aje geto na penyewe hataki eti anaogopa, sababu ni ile ile yuko kwenye mahusiano. Halafu hata hela haombagi ningesema labda yupo kunichuna tu. Wakuu nisaidieni na nyie shida nini labda
  • Ni mimi ndo sijui kumshawishi akubali
  • Hanipendi anacheza na akili yangu
  • Sababu nyingine yoyote mnayohisi wakuu
Maana dem ni mkali na mda niliopoteza kumfatilia ni mwingi mno roho inaniuma kumpotezea bila kupewa mbususu
roho inaniuma kumpotezea bila kupewa mbususu😂😂😂. Wataalamu wa kula mbususu wanasema hapo hutokula mbususu ulishakosea hatua ya kwanza usitegemee kupata swali la hesabu.
Tafuta demu mwingine la sivyo mzinga mkubwa unakuja.
 
Unapewa kiss mpaka tako unashika ushindwe kula mbususu,we usilete utani.....mwambie mkutane Tena mpigie mambo hapohapo....kama mmekaa mpakate imezama,kama mmesimama mkunje mwinamishe imeingia.....AA wee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] unaongea according to experience

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Unapewa kiss mpaka tako unashika ushindwe kula mbususu,we usilete utani.....mwambie mkutane Tena mpigie mambo hapohapo....kama mmekaa mpakate imezama,kama mmesimama mkunje mwinamishe imeingia.....AA wee
Tatizo ni kwamba hataki twende sehem ambayo tupo wawil tu
 
Unakosea tu timing zako

Sasa siku nyengine akikuruhisu umishike mshike mpka alainike achanganyikiwe baada ya hapo ua
 
Sijawahi kukutana na mdada aina hii huwa nikikubaliwa naomba mbususu direct na mtoto anakuja huyu sijui anataka nikamteke
Utoto na ujinga uliofanya ni hatua za mwanzo kukubali mahusiano na mtu ambaye kakuwekea barrier, hapo ameshakuandalia mazingira ya mizinga na utokula nakuambia.
 
Utoto na ujinga uliofanya ni hatua za mwanzo kukubali mahusiano na mtu ambaye kakuwekea barrier, hapo ameshakuandalia mazingira ya mizinga na utokula nakuambia.
Kwa hivyo mkuu unaona ni vyema nijitoe tu aendlee na huyo mpenzi wake
 
Utoto na ujinga uliofanya ni hatua za mwanzo kukubali mahusiano na mtu ambaye kakuwekea barrier, hapo ameshakuandalia mazingira ya mizinga na utokula nakuambia.
Mizinga yani kunipiga hela. Apo hawezi
 
Unapewa kiss mpaka tako unashika ushindwe kula mbususu,we usilete utani.
Hawa ni kile kizazi ambacho mitihani ya hesabu waliwekewa Multiple Choice....

Na sio kalio tu,,,, Hawa huwa wanashika hadi mbususu na kutest na kidole na bado wanatoka patupu.,,,,,na vikao vya Wanaume tukiwaita hawatokei....
 
Unapewa kiss mpaka tako unashika ushindwe kula mbususu,we usilete utani.....mwambie mkutane Tena mpigie mambo hapohapo....kama mmekaa mpakate imezama,kama mmesimama mkunje mwinamishe imeingia.....AA wee
😂mwana umenikumbusha...nishakuwa na demu la kihaya,siku moja nmeenda nae pahali kuna tuvinywaji na swimming pool.sasa tukakaa sehemu ina kagiza(ilikuwa kwenye saa moja hivi kwenye tule tuvibanda)
Manzi nimeshika paja kidogo likapata steam akafungua zipu mwenyewe akaanza kula koni😂😂😂😂dah
 
Wa hivo hawaliwi kwa kuomba Rasmi bali unatengeneza mazingira fulani hivi!!

Mnakuwa site KWA maongezi halafu unaanza tu "you touch me here i touch you there Hadi analainika then there you go boy!!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Kumbe unafika hadi huku mzee wa kulamba asali na siasa uchwara
Unatoa mbinu ya kula papuchi
Ndiyo tabia zenu wanasiasa uchwara

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom