Shida ni mimi au labda sipendwi

Shida ni mimi au labda sipendwi

Mjuba hata kujiongeza Bado anachagua hajaamua awe na wewe au huyo mwenzio Sasa juhudi zako
 
Mpaka awamu hii unasumbukia mwanamke.?achana nae nipe namba nijalibu bahati na mm.
 
Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Olympus has fallen..
Request for immadiate back up
Liverpool VPN do you copy?

Mwenyewe Liverpool VPN Sasa MDA huu[emoji116][emoji38]
images-983.jpg
 
Kaka hujakosea mahali ila wapo wanawake wa hivyooo sema tofauti huyo hakuombi hela ila WEWE MPE HELA. alafu muite mahali uone kama atagoma maana ashaingia king kama hadi kiss unapata
 
Kama kiss ipo na kiuno unashika jipige kifuani na kujitamkia maneno kwamba wewe ni mshindi

Anakutaka huyo ila anaplay hard to get

Mbinu ya kumla ni ile ile ya kila siku,kata mawasiliano...jifanye kama vile umemsusia mbususu yake(japo mbususu haisuswi)

NB: Hiyo mbinu ni kama betting,inawezekana ukamchunia na yeye akakuchunia(sema achana nae tu kama atakuchunia mazima,utaanzaje kuwa mpenzi mtazamaji kila siku?si heri ufuate utaratibu mwingine)
Ila we dada comments zako zipo concrete na vivid ile mbaya. Eti jipige kufua
 
Kama kiss ipo na kiuno unashika jipige kifuani na kujitamkia maneno kwamba wewe ni mshindi

Anakutaka huyo ila anaplay hard to get

Mbinu ya kumla ni ile ile ya kila siku,kata mawasiliano...jifanye kama vile umemsusia mbususu yake(japo mbususu haisuswi)

NB: Hiyo mbinu ni kama betting,inawezekana ukamchunia na yeye akakuchunia(sema achana nae tu kama atakuchunia mazima,utaanzaje kuwa mpenzi mtazamaji kila siku?si heri ufuate utaratibu mwingine)
Haha!! Joanah bhana
 
Huo muda unaopoteza kumshawishi ungetumia kupita kidogo kwenye uzi huu
[emoji1] Mahudhurio yangu uko mkuu ni mazuri, mi member wa riverside na sinza tatizo mkuu kuna pisi unakutana nazo unaitamani balaa
 
Back
Top Bottom