Hepatis B
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 207
- 166
Habari wadau.
Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila mipango duni inawafanya kuwa maskini.
Kiukweli huwezi kuyafikia maendeleo ya kweli na kuyapata bila kutoa kwanza vipingamizi vidogo vidogo hivi ndo mwiba sana kufikia maendeleo ya kweli.
Kwa watanzania wa sasa wanaolewa nini maana kupata maendeleo wasihangaike na matatizo makubwa ambayo hayafikiki ila kuanzia chini ni mwanzo mzuri kupita chochote kile tuhangaikie haya matatizo madogo hapo tutaongea lugha moja. Usijibu kwa kukurupika tulia jibu kwa hoja.