Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Sasa huyo Shibuda kama anaona CHADEMA haifai mbona hatoki? Kama anataka kuondoka si aondoke tu, tena bila kuaga, anataka kufukuzwa ili iweje sasa? Apate promo au aonekane shujaa?
 
Duh ni kweli ni miliki ya mtei na mbowe. sasa katiba gani mnaifuta. tena bila aibu mwanasheria kama tindu anashabikia.
 
Mbona insha nzima ni maneno yanajirudia..
Ukiipeleka fomu2 ukawaambia waseme lengo la mtunzi, watakwambia mtunzi alijiuma uma tu
...
Eti sikusoma katiba vizuri, bado anataka tumwamini, labda hata aya anayosema basi hajayajua vizuri, ....eti sio chama ila ni chama cha....
Sasa kama sio chama then kinakuwaje chama.... Alaf hajajiudhuru bado ni mbunge, kwa iyo roho imekubali kubaki ila domo ndio linapanuka tu.....
 
hivi huyu mtu yupo? naona anatafuta atokeje, mwambie aende BAKITA tu. watu wamempotezea anahangaika tu.
 
Mada za kipumbav kama hizi hazitujengi ,yapo mambo ya kujadili lakini sio ujinga kama huu.Ni nani anao uhakika kama Hugo Shibuda kasema maneno kama haya?.Wezi wa ESCROW kweli wana nguvu tunasagaulishwa kila sekunde kujadili ujinga kabisa.
 
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.
Kumuacha bila ya kumfukuza au kumjibu ni mateso yanayotosha kabisa. Hadi mtu anafikia hatua ya kuomba kufukuzwa, ujue ameteseka moyoni kwa kuona hana thamani kiasi cha kupotezewa!
 
kwa hiyo CDM inatufundisha kuwa wakikamata nchi wataibaka katiba rais aendelee kuwa mbowe. mmh hiki chama hakifai kabisa
 
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?

Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?

CHADEMA ikifa mimi nafurahi sana. cufu na nccr kataeni muungano wa kijinga wa kuongozwa na familia ya kichaga.
 

Ungekuwa mzalendo wa kweli na kama hayo unayosema yana ukweli wowote ungeondoka siku nyingi sio usubili uchaguzi umekalibia ndio uanze mara ooh chadema haifai mara saccos safari hii hatudanganyiki na nyie wanasiasa mnaotumika kama co...nd.....m
 
Kwa mtanzania wa leo mwenye akili timam kabisa hawezi kumsikiliza SHIBUDA,Kwan shibuda ni fake politician wa karne hii!!!nasema bila kumung'unya.
 
Duh ni kweli ni miliki ya mtei na mbowe. sasa katiba gani mnaifuta. tena bila aibu mwanasheria kama tindu anashabikia.

Kama katiba ya Chadema ni ya kidikteta isingepitishwa na (Serikali)kutambulika na msajili wa vyama vya siasa
 
Shibuda ameichoma katiba ya chadema, Anadai imejaa upuuzi na madudu matupu

Kuna watu wana upeo mdogo sana wa kufikiri kama ameichoma moto kadi kinachomfanya aziondoke CHADEMA ni nini au anasubiri kufukuzwa kama msaliti mwenzake Zitto
 
kwa hiyo CDM inatufundisha kuwa wakikamata nchi wataibaka katiba rais aendelee kuwa mbowe. mmh hiki chama hakifai kabisa

CHADEMA NI JANGA LA KITAIFA FaizaFoxy nakumbuka sana maneno yako, nikupinga hata kukukejili lakn leo nayakumbuka sana maneno yako!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…