Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huyi hafai kuwa kuongozi esp wa watu.

Kweli unagombania ubunge hausomi katika ya chama ulichojiunga kisa kutamani pesa.

Kwa mimi jimemshusha thamani hana hata aibu kusema hayo maneno eti hakusoma katiba kiongozi gani huyu muongo tu. Shame on him, mie sina chama ila kwa mtu anayewakilisha wananchi kuna mangapi hasomi au anadanganya baadae hajasoma ili kujitetea.

Wewe haufai kuwa kiongozi watu hawana cha kufata kwa uongozi wako duni....eti hausomi mambo muhimu kazi kutia saini tu.
 

Itakuwa unakaundugu na shibuda nini ulijuaje si sawa?
 

Mkuu unakosea sana kumfananisha chibuda na wasio na akili timamu. Hivi unajua kuwa ni wabunge wachache wanaoweza kuhama na wapiga kura wao? Chagadema ilimpokea huyu jamaa kwa shangwe nyingi leo unamdis kisa kutoridhishwa na mwenendo wa chama? acha muvi iendelee
 

Shibuda ni kichaa,ivi kichaa anaweza kufukuzwa!?
Na ww mtoa post umetumwa? Angeingia humu tumhoji kumbaf sana
 
kila mtu mdomo mali yake haulipiwi kodi!!!
 
Wenyeakili tumemuele ahsante sana mtoa mada BAWACHA wengi wao ni MAJUHARA.

Tunawauliza,
yoweri Mseven amekuwa mwenyekiti wa UPC tangu 1979-2015!
Ni wapi uliona Shibuda aliwahi kunyimwa kugombea uenyekiti?
Lakini uongozi haugawiki kama njugu!
 
Hivi anapoishi Shibuda kuna pombe ya Ulanzi?
 

Haya wakaribisheni mpaka hata kwenye nyumba zenu eti wana bidhaa nzuri! Haya tembeza bakuri ili mpate bidhaa zenu hizo, ila kumbuka hawa jamaa wanajua where the damping palce is! Na ni bahati mbaya kuwa nchi yetu ni mojawapo! Na hii itakula kwako pamoja na wengine walio wengi kama wewe. Ukweli unauma kwa watu kama wewe!
 

Hapo sasa turudi kwenye hoja. Kwamba tuachane na ushabiki unaofanywa na mtu kama FaizaFoxy. Kwamba kila kitu cha CCM ni hoyee! Kwamba kila kitu cha CDM ni Ziiii! Kwamba kila anayetukana CDM ni safi. Sasa wanajikuta wanashangilia hata wasiyo na akili za kufanya mema.

Imani yangu ni kwamba CDM kumchukuwa Shibuda haikuwa vibaya kwa wakati huo. Baadaye hatujui ni nini kimetokea maana hatuna tabia ya kupima akili. Huyo Shibuda anaweza kuwa sasa akili ziko kombo kwa sababu yoyote ile. Huenda ni genetical au elimu isiyofaa kwa sasa au hata kiwewe cha uchaguzi wa mwaka huu. Tatizo ni kushangilia eti tu kawasema CDM bila hata kuchunguza hiyo kama ni akili ya IQ angalau 60%
 
Shibuda ni kichaa ndio maana CHADEMA huwa hawaangaiki nae, kama angekuwa anajitambua wangemchukulia hatua. Shibuda ni Comedian

Kumbe mnawafukuza wanaojitambua..Zitto ni mmoja wa wanaojitambua ndo maana mmemtimua...naitimisha kwa kusema "chadema" ni chama cha wasiojitambua kwa sababu wanaojitambua hawatakiwi.
 
Hivi unawezaje kufukuzana na kichaa barabarani si wote mtaonekana vichaa?kichaa unamwacha akimbie mwenyewe...nafikiri haina haja ya kuumiza kichwa kwa,ajili ya Shibuda..
 
Viongozi wa CHADEMA wanamambo Mengi ya kufanya hawawezi kuhangaika na ubua kama shibuda. shibuda hana madhara kama zitto ndomana hata hao ccm hawapitishi faranga kwake ili kuisambaratisha CDM. kama utaona kwenye ile bil 3.6 ya zito ,shibuda alikula mgao sawa na Juliana shoza. Kama unavyotaka mwenyewe kuondoka basi jiondoe mwenyewe kama ukikaidi.sasa Mimi kama mwanachama hai wa CDM NAKUFUKUZA RASMI KUANZIA LEO KAMA ULIVYO OMBA MWENYEWE
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…