SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

na bado mtasema yote mpaka yataisha lakini CHADEMA kiboko yenu
 
Huyu mzee mnamkweza sana
kwa kumfungulia thread kila baada ya dkka moja.

Hana sera anaweweseka!
mpotezeeni
 
Hatma yake iko 2015, pale itakapobidi awafuate mabwana zake huko waliko. Awe na bahati kama hajakuta talaka yake mezani.
 
People's Power ni kauli mbiu ya TANU iliyoigizwa na CHADEMA - Mh. SHIBUDA.MH. JOHN SHIBUDA AONGEA (MichuziBlog) - YouTube

Hakuna dharau kubwa kama unapojaribu kumchokonoa mwerevu alafu yeye anakuangalia na hakujibu lolote,ndilo limetokea kwa Shibuda,sasa hv ndio amezidi kudharaulika na kuonekana ni mbwabwajaji tu!kwa hiyo Romania,Tunisia, Egypt,etc kauli mbiu ya nguvu ya umma waliiga TANU?huyu mzee ni BOGUS kabisa,na hata wanao support kauli zake ndio ma BOGUS wakutupwa
 
Point ya Shibuda ni ipi hasa? Kwamba hayo maneno ni hati miliki ya TANU? Na kama yamekuwa reclyced shida ni nini?

CCM naona wamepata publicist wa aina yake!
 
Huyo ndio mgombea urais! Ni bora akagombea huko huko anakojua! Make sioni kama anaweza kupata hata kura 50,000 Tanzania nzima!
 
Kauli anazoendelea kuzitoa John Shibuda mbunge wa Maswa dhidi ya Chadema na kuendea kwa Chama kumkumbatia ndani ya chama ni dalili tosha kuwa Shibuda ni mtaji na Chadema imewekeza kwa Mwanachama wake huyo.
 
TANU anaijua yeye na hao wazee wenzie wa CCM. kama TANU ilitumia kauli mbiu hii kuondoa ukoloni wa mzungu sasa inatumika kuondoa ukoloni wa mafisadi na magambazi. CDM move on hadi kieleweke.
 
Shibuda hajasema kwamba jina hilo liko kwa msajili wa vyama. Alichosema ni origin ya kauli mbiu ya People's Power. Anachofanya ni kuweka rekodi za historia sawa tu.
Halafu? Ili iweje? Na wewe acha kupotosha watu ZeMarcopolo, kwa kukusaidia tu...kauli mbiu ya peoples power ina historia yake ulimwenguni na wala haina uhusiano wowote na TANU. Shibuda hajui anachokiongelea, period.
 
sawa tu!hata baba yangu alikuwa peoples power ya TANU lakini sasa ni peoples power ya CDM.
 
Huyu jamaa dawa yake afanyiwe Umafia. Apotezwe kwenye ramani ya dunia kabsa.
 
Mmm...hadi uvivu kumwelimisha mtu.Yaani ktk nukuu zote za mapinduzi yaliyowahi kufanyika duniani kwa nguvu ya umma umepata hiyo ya SHIBUDA kuhusu TANU.Anyway,jaribu kuainisha ni ktk mazingira gani TANU ilitumia nguvu ya umma na siyo uhuru ni kazi,ujamaa na kujitegemea,kazi ni kipimo cha utu,umoja ni nguvu na nyinginezo? Ukiwa Kamanda ni rahisi kuwa na kumbukumbu na kuwa na uwezo wa kutofautisha siasa za 1960s na 2010s. CHADEMA-Vema!
 
Halafu? Ili iweje? Na wewe acha kupotosha watu ZeMarcopolo, kwa kukusaidia tu...kauli mbiu ya peoples power ina historia yake ulimwenguni na wala haina uhusiano wowote na TANU. Shibuda hajui anachokiongelea, period.

Mimi nimempotosha nani tena? Sijaweka neno langu hata moja. Au kuleta kauli ya kiongozi ni kupotosha?
 
Back
Top Bottom