Crap,bora kuacha kusimamisha mgombea kabisa
Hapo umenena mkuu.CDM achaneni na kufukuzana badala yake simameni pamoja mjiandae na uchaguzi mdogo wa Igunga. Campaign manager wa mgombea wa CDM awe Mh. Shibuda
Labda awe kampeni meneja wa kampeni zake mwenyeweShibuda!awe campeni meneja?utani huu
Hizi ni tetesi,...
kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema
kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo
ondoka chadema kwa kufukuzwa,...
Its time,either chadema wapate pigo la kupewa madongo na kushushiwa hadhi
yake au chadema imfukuze mapema na kuonekana inasimamia kile inacho amini.
Inasemekana atachukua uamuzi huo mda wowote atakapo gundua
sekunde zake ndani ya chadema ni chache,game of chance.....
hao ndo wale wanafiki.Shibuda ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema, na wanaompa kichwa ni hao hao CCM. Kwa mtazamo wake anaona akijiuzuru Chadema na kugombea tena ubunge kupitia chama chake cha zamani cha CCM atashinda, na akumbuke mambo yanaweza mwenyea vibaya, maana wananchi wa leo si wa jana, wengi wameamka watakuja mshtukia na msimamo wake usiotulia.
mambo ya usukuma yanatoka wapi? hatuhitaji watu wenye akili ya ukabila kama wewe.Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
Ivi sifa za kampeni meneja mzuri ni pamoja na kuwa mkabila eeh!!!!Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
Mkuu sio rahisi unavyodhania, na hata kama wakimfukuza kwa kosa gani hasa? hapo ndipo mahakama itakapo amua kama kafanya kosa linastahiki kutimuliwa na kuwaondolea wana maswa mwakilishi waoHizi ni tetesi,...
kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema
kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo
ondoka chadema kwa kufukuzwa,...
Its time,either chadema wapate pigo la kupewa madongo na kushushiwa hadhi
yake au chadema imfukuze mapema na kuonekana inasimamia kile inacho amini.
Inasemekana atachukua uamuzi huo mda wowote atakapo gundua
sekunde zake ndani ya chadema ni chache,game of chance.....
Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
Nahakika humjui Shibuda na wananchi wake, kwa taarifa tu wananchi wa maswa hawachagui chama wanachagua mtu, hivyo basi wanao mchagua wanamjua vizuri kuliko wewe unayemona hafai, tujifunze kukubali tofauti zetu za mitazaoShibuda hafai kuwa mbunge popote kwa kupitia chama chochote.Ni vyema sasa tuelewe kuwa Mbunge mwema anawajibika kwa watu waliomchagua pasipo kuegemea interest binafsi na kulinda maslahi ya wachache ndani ya chama.Shibuda ni selfish na hagusi na matatizo ya watu.Afukuzwe chadema na asipewe uanachama kokote.