Simbaarobaini7
Member
- Jun 6, 2012
- 19
- 12
kuna utaratibu wa chama siyo kujitangaza tu
jamani si shangai la shibunda kule usukumani kuna sera ya kuwa rahisi wa wachawi may be shibuda hajamuelewa pengine anahitajika Ngamboshi ili awe rais wa kuzimu msimshangae sana hili lawezekana wasukuma Noma Ngamboshi inatisha kuna mji hata tanzania haupo, full starehe, barabara juu na chini, hakuna kulima nikuvuna tu maisha mstarehe kabisa. nakutakia mafanikio Shibuda!
Acha matusi we mbweha,fisi maji mkubwa weee,ona lilivyolijinga!Ongelea shibuda kama shibuda na siyo wasukuma, wala eneo la usukuman.Wasukuma ni wastaarabu sana huwez kuongea upuuz tukakwaangalia tu! Wasukuma wangekuwa na ubinafsi na roho mbaya wee mpuuz ungejificha wapi?tz hii wasukuma wakiamua kupendeleana wee kinyago utapata nini?hata kazi ya kufagia choo huipati.Watanzania tuheshimiane si mmakonde,mngindo,mchaga wala msukuman,nyerere alifanya kaz kubwa sana,tuiheshimu hiyo kazi.CHADEMA imechukua majimbo mangapi usukuman we *****?leo unabwabwaja maneno yasiyokuwa na msingi,umekunywa gongo ukaingia jf? Mijitu mingine bana,imelaaniwa! Au ndio kuanza kushika dola nini? Inakasirisha sana.

Me too
.....salaaleh......! bundi yuko ktk 18 za "movement"....kama katiba mpya itaruhusu mgombea binafsi wa uraisi....nahisi wa 3 watatoka "kwetu"..akiwemo mzee wa ujira mwia...Zomba,
Unaona sasa? Kumbe si Zitto peke yake ndani ya Chadema anayetaka urais. Sasa nawashauri hawa wawili wachuane
na wote wabwagwe chini ili Chadema ichague mtu asiyejitangazatangaza kuwania urais kwenye vyombo vya habari.
mhm! shibuda rais!!!!!!!!!???? may be ngoja tuone...