Shibe

Shibe

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
288
Shibe nyingine bana...hatari tupu...
 
Attachments

  • duh.jpg
    duh.jpg
    7.8 KB · Views: 435
Sitaacha kuwaheshimu na kuwapenda kina mama au mwanadamu yeyote mwenye jinsi/ jinsia ya kike! (sina maana kuwa huwaheshimu au huwapendi!)
 
Acha kutukejeri tukiwa katika hali hii

mpendwa.. Alo pichani kajheshiu vp had avae kyupi nakugeuza uumbaji wa kiumbe kile biashara....!! MR...Usipojiheshimu utaheshimiwa kweli?
 
Anakupa mchezo bila shida yoyote hapo alipo

sasa hili lina uhusiano gani na hii Topic?
maana umefungua Thread ya kulalalmika watu wanaoharibu mtiririko wa mada sasa sijuhi na wewe unafanya nini, maana na mimi umeshanitoa kwenye mada ili nikuulize wewe
 
hakuna kama mama.imagine hata midume pamoja na ndevu zao kama sio mama kuvumilia ukimpiga mateke tumboni miezi sita msingekuwepo.
 
mpendwa.. Alo pichani kajheshiu vp had avae kyupi nakugeuza uumbaji wa kiumbe kile biashara....!! MR...Usipojiheshimu utaheshimiwa kweli?

You have a point bro........mi huwa nashangaa hata wadada wanaokubali kushiriki movie za ngono wakiwa wajawazito kisa eti dau huwa linaongezeka, huyu hajadhalilishwa tena Mkeshahoi kamsaidia kutimiza azma yake ya kufanya matangazo, yuko kazini hapo.

Mkeshahoi thank you for this useful post!
 
hata mim pamoja kuwa napenda wanawake tuheshimiwe lkn kwa huyu kajidhalilisha mwenyewe sababu angeanza kujiheshimu mwenyewe asingepiga picha za hivi.
 
Nilishapishana na mutu ya aina hii ka mara tatu hiv paleeee mitaa ya Samakisamaki na Shoprite ktk Jiji la Mlimani... top inaanzia begani naishia china a madhiwa... tumbo ngumi lote labaki wazi(kama amekula hamira) afu hchi kapiga kipensi... anasukuma kapu la mapochopocho..:twitch:.. almanusura macho yanchomoke yaserereke kunfata.... wkend njema!!:coffee:
 
sasa hili lina uhusiano gani na hii Topic?
maana umefungua Thread ya kulalalmika watu wanaoharibu mtiririko wa mada sasa sijuhi na wewe unafanya nini, maana na mimi umeshanitoa kwenye mada ili nikuulize wewe

Nastahili adhabu gani hapo, si unajuwa hata wabunge watunga sheria nao huzivunja pia ndugu.

Lakini hebu niambie kwa jinsi unavyoona huyu mleta thread alihitaji mtiririko upi, maana mimi naona hii thread ina-hang tu.
 
Back
Top Bottom