Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Feb 28, 2012 Thread starter #21 nketi said: kwani umeambiwa hii picha inawahusu watz?::::::::::::::no research< no right to speak Click to expand... Nani kaziweka hapa? au umejifunza hilo neno la kidhungu ukawa una tafuta pa kuliweka ?
nketi said: kwani umeambiwa hii picha inawahusu watz?::::::::::::::no research< no right to speak Click to expand... Nani kaziweka hapa? au umejifunza hilo neno la kidhungu ukawa una tafuta pa kuliweka ?
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Feb 28, 2012 #22 Hii nikufuru sasa. Unakula chakula hadi unakikalia wakati wengine wanahangaika!! Kama ameshiba aende akawape wengine wenye njaa
Hii nikufuru sasa. Unakula chakula hadi unakikalia wakati wengine wanahangaika!! Kama ameshiba aende akawape wengine wenye njaa