Shibe mwana malevya

Hua namaliza sahan 3 za
Pilau zlizojaa mlima Kilimanjaro

Lakin hii yake sasa imepiliza aiseee!!
 
Angalia vizuri. Huo mti ni wa kutambaa tambaa hivi tena upo muelekeo wa mto. Unachoona hapo chini ni mto nao umefurika kweli kweli hivyo amejitandaza juu ya hicho kichaka kupata joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…